Nimeitwa Interview NMB

Pamoja na hayo yote ndugu yangu mtangulize MUNGU mbele akawe ngome ktk usaili huo.
 
Aksanteni sana wakuu, tuko pamoja jamani, Mungu mbele daima, niombeeni kijana wenu ktk final ya leo.
 
Ucfikirie sana mshahara wakat interview bado fikiria how can u perform the interview.
 

kama na kaka msumeno huna kazi, hujaamua tu, na kama si hivo Tanzania inapoteza majembe ya muhimu sana maofisini.

Thanks mzee. bonge la ushauri kwa wote.
 
Last edited by a moderator:
Wadau, narudi jamvini kuwapa updates, kama kawaida jana tulipiga written tukiwa 93. Paper ilikuwa poa na ilikuwa ya dk.40 ingawa duuuh! Maswali 20 halafu Mathe humohumo, politics humohumo, Financial and Mgt accounting humohumo, ICT humohumo na Engl. Humohumo. Mambo yakawa poa nikafanikiwa kuwa kati ya watu 40 waliofanikiwa kupata chance ya kuingia Oral interview leo tar.07 may, hapahapa NMB Western zone head office tabora
 
Asanteni sana wakuu kwa maombi na sala zenu, leo tar.07/05 nimefanikiwa kupiga Oral interview kama ilivyoada. Interview ilikuwa njema sana, Cabinet ilikuwa na watu watatu tuu, Zonal manager, Zonal HRO na Invited NMB Branch Manager toka tawi la Urambo. Ilichukua takriban dk.10 mpaka 15 kwa msailiwa mmoja kufanyiwa usaili, na mwisho wa usaili tuliambiwa kwamba, baada ya kila aliyestahili kufanya Oral interview kuwa amefanya Interview, Carbinet ilitueleza kuwa watafanyia analysis performance zetu za Interview then ndani ya wiki 2 waliofanya vizuri watapigiwa simu na NMB Western zone head office Tabora, ukiona kimya ndani ya 2 weeks ujue, no more. Hivyo, niombeeni wadau, shughuli bado jamani, Mungu atusaidie
 

kaka nakutakia kheri upate huo mchongo mana kitaani co mpango kabisa
 
Nashukuru sana tena sana wadau wote hapa jamvini kwa ushauri na maelekezo yenu tangu mwanzo wa mchakato huu mpaka hapa nilipofikia. Tuombe Mungu kijana wenu niwe mmoja kati ya wateuliwa. Nitaendelea kuwajulisha kila kitu wakati wote. Thanx in advance wadau wote
 
Hakikisha pia unafahamu hata kazi au roles tano za bank officer kama ambavyo zimetangazwa hapo uliposoma hilo tangazo la kazi
 

mkuu usiogope. utafanikiwa. ebu tupe mifano ya oral questions za jana. i mean wana focus kwenye nini sana sana?
 
Yaani ile nimeingia tuu na kuwapa salamu Cabinet, Zonal manager akaanza, "Qn. 1.Yes Mr......,NMB knows your name, and we are very sure that you have successful passed through primary to university education, may you give us more than what we know about you? Qn. 2. "Have you ever passed on our website? Nikajibu: YES, Zonal HRO akaniuliza what are the mission and vision of NMB? Qn.3. Why do you wish to be employed to our institution? Qn.4. What amount of salary do you wish to be paid? Qn.5. Do you know any one in NMB? *Maswali niliyoulizwa ni hayo wakuu. Kwakweli nilijitahidi sana kuwa makini na kuwa huru kwa kuwa tayari kwa lolote, hatimae nikawa nimemaliza kihivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…