Duuuh! Wakuu written tayari tumepiga, asubuhi ya leo saa 9 alasiri majina yanatoka kwa ajili ya second session kesho watakao jaliwa. Nitarudisha feedback wakuu hata kama sintokuwa mmoja wa wateuliwa ktk raundi two. Mungu nisaidie
Dogo fanya yafuatayo
mengine watachangia wengine
- vaa kinadhifu lakini usipitilize.. kama ni saa ya mkoni basi iwe ya kawaida ila isiwe ya elf 2,, na hala hala usipende kuingalia wakati wa mahojiano maana hupeleka ujumbe wa '' humalizi tu?''
- Usikae kwenye kiti bila kuambiwa kaa hapa....
- wasalimie wote lakini usiwape mikono,,
- tabasamu ki professional na si kilokole
- usioneshe dhehebu gani wasali,,,, kuwa neutural
- relax ,, weka uso wako uwe angavu... usionenshe khofu
- jibu unacho ulizwa na usibahatishe majibu,,, i think??? hairuhusiwi kama hujui sema sijui ila naweza kujifunza
- usipake mafuta ya kunukia sana kama perfume ila kikwapa pia hakilipi
- kenua na usicheke kwa sauti hata ukichomekewa kichekesho
- usinyenyekee sana hasa wakati wa kusalimian an accessive respect sio professional
- toa mifano kiasi wakati wa kujibu maswali ili uoneshe upeo wako wa mambo
- jiweke mbali na siasa, kuchomekewa mambo ya siasa wambie wewe si mjuvi wa hayo
- ukiulizwa mshahara wambie according to their salary scale which yoiu belive ni nzuri .. ila peleleza ujue kima ili ukikomaliwa ukitaje lakini sio exactly ...
- ukiulizwa uko tayari kuanza lini wambie next week... usjibu hata sasa hivi utaonesha jinsi ilivyo desparate na not organised na maisha yako pia