Kuna dem mkali nimekutana nae hapa sa nimemuita shem, sa anashangaa shem wapi wakati hanijui nikamwambia mwenzio sina hela sa watoto wazuri ka wewe naishia kuwaita shem.

I had been stuck on an issue in my office, after your thread I can now restart thinking positively on the same issue, many thanks indeed... hahahahahahahahaaaaaaa

Hapana...kuna msemo wanasema "ukiwa hauna hela watoto wazuri utaishia kuwaita shem", dats means huwezi kuwapata. Basi tu nilikua na mood ya kumfurahisha that lady, ndo nikamwambia hivyo, n alicheka sana