Ushawahi jiuliza swali hili mpaka sasa umeishi siku ngapi? La hasha! Wengi wao wataona wameishi siku chache zaidi kwa uthamani wa namba unayoiona kwa miaka yako.Ila utabaki ukweli huu chukua siku zako za mwaka mmoja ambazo ni 366 na uzidishe na miaka yako ya sasa unapata siku zako ulizo ishi tangu kuzaliwa kwako.
366×26=9516.
Tuambiane sasa wewe mwenzangu umeishi siku ngapi hapa duniani?
Umekurupuka na kupotosha watu!. Ni mwaka mmoja tu wenye siku 366 kati ya miaka 4, mitatu iliobaki ina siku 365. Zidisha mara 365 na 1/4 ndio utapata jibu sahihi.

Hizo siku zako elfu 9 na something umefanya jambo gani la maana sana hapa duniani? Na next 9.... Umepanga kufanya jambo gani... Hayo ndio mambo ya kuyaleta huku.. Hizo calculation zako ingekuwa bora mngezifanya huko sekondari kwenu.