Nimeipenda

Umenikumbusha kipindi nawafuga. Adui yangu namba moja alikuwa paka.
 
Jamanii ina maana huyu ni njiwa? na ameyapanga hayo manyoya mwenyewe? its wonderful..sehem yeyote yenye amani hukaa..ika mvurugano, magomvi na fujo hukimbia haraka sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…