Nimeipenda....!!!

Demu ana shepu nzuri ila sura kama Mange bhanaa..!!
 
Atakaeelewa anieleweshe tafadhar
pamoja na kuchafuka vyeo alitakiwa kutisha na kuheshimiwa sana. hapo anaonesha unyenyekevu wa kiwango cha juu kwa 'mupenzi' hadi kavua kofia. ikumbukwe hata saluti kwa Amiri jeshi mkuu (Rais) kofia hazivuliwi; lakini kamanda amelazimika kumvulia kofia huyu 'waziri wake wa mambo ya ndani' chezea hengine sio nke wa ntu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…