falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,159
- 9,241
Punguza ashk majinunUlitaka wakugombanie wew
Mobeto, kigwangala, makamba = tz Ya viwandaShida nimewahi kuufungua huu uzi ningesubiri wambea wa mji waanze kucoment ili mie nikijakusoma niunganishe dots nielewe n nn kinachomaanishwa.
Yan umbea bana n shida
Mara hii umesahau zile Nissan nyeupe"JAMII FORUM WHERE WE DARE ...OPENLY"
mkuu wewe ni mkongwe,weka full habari!
Mobeto, kigwangala, makamba = tz Ya viwanda
Hakuna wengine wa kuwareplacekudundana tu ilitosha kuwafukuza kazi,,,,,,,,
FaruHahahahahaha inawezekanaje? Hamisa ana kipi cha ziada mpaka watu waparuane??? Wale nao walikua na ishu zao tu..... Ila yule wa wanyama naona ni mkorofi hivi kwa mwenzie
.........Shida nimewahi kuufungua huu uzi ningesubiri wambea wa mji waanze kucoment ili mie nikijakusoma niunganishe dots nielewe n nn kinachomaanishwa.
Yan umbea bana n shida
Dahhhh....."JAMII FORUM WHERE WE DARE ...OPENLY"
mkuu wewe ni mkongwe,weka full habari!
Comp estas Amigo's
Kumbe jaman kile chama kimempa kimya kimya ulaji Yule dada aliyezaa na msanii mkubwa
Bint mrembo haswa ambaye anauwezo wa kuutikisa moyo was mwanaume yeyote
Iko hivi ni mwezi Sasa tangu amepewa kile cheo
Basi unambiwa tangu kapewa kile cheo Cha uhamasishaji basi imemfanya awe karib mara kwa Mara na viongoz
Sasa
Sasaaaaa weekend iliyopita unaambiwa waziri anaeshughulikia mapori na Yule mwenzake ambaye jina lake linafanana na miezi
Walizidunda balaaa kisa kumgombea Yule binti
Baada ya kugombelezewa bwana wakawa hawaongei kabisaaaaa na operation mbalimbali zikawa hazifanyiki
Taarifa zikafika kwa bwana mkubwa
Bwana mkubwa akawaambia msipopatana nitawatimua wote nafasi zenu nichague watu wengine
Ikabidi kishingo upande wapatane lakin hali si hali sababu ya kumgombea mlimbwende Yule
Nifungulie code mkuu....Dahhhh.....
Inamaana codes zimekushinda kutafasiri...!!??
Mkuu habari za siku nyingiHamisaaa wa Mobetoooo 😜