Nimeinyaka hii exclusive ya waliopigana

falcon mombasa

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
9,043
2,000
Comp estas Amigo's

Kumbe jaman kile chama kimempa kimya kimya ulaji Yule dada aliyezaa na msanii mkubwa

Bint mrembo haswa ambaye anauwezo wa kuutikisa moyo was mwanaume yeyote

Iko hivi ni mwezi Sasa tangu amepewa kile cheo

Basi unambiwa tangu kapewa kile cheo Cha uhamasishaji basi imemfanya awe karib mara kwa Mara na viongoz

Sasa

Sasaaaaa weekend iliyopita unaambiwa waziri anaeshughulikia mapori na Yule mwenzake ambaye jina lake linafanana na miezi

Walizidunda balaaa kisa kumgombea Yule binti

Baada ya kugombelezewa bwana wakawa hawaongei kabisaaaaa na operation mbalimbali zikawa hazifanyiki

Taarifa zikafika kwa bwana mkubwa

Bwana mkubwa akawaambia msipopatana nitawatimua wote nafasi zenu nichague watu wengine

Ikabidi kishingo upande wapatane lakin hali si hali sababu ya kumgombea mlimbwende Yule
 
  • Thanks
Reactions: BAK

aldeo

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
1,212
2,000
Shida nimewahi kuufungua huu uzi ningesubiri wambea wa mji waanze kucoment ili mie nikijakusoma niunganishe dots nielewe n nn kinachomaanishwa.

Yan umbea bana n shida
 
Mr pianoman

JF-Expert Member
May 22, 2019
1,990
2,000
Siamini macho yangu!!!!!!
tapatalk_1562873989317.jpeg
 
Zesh

JF-Expert Member
Apr 27, 2017
14,883
2,000
Hahahahahaha inawezekanaje? Hamisa ana kipi cha ziada mpaka watu waparuane??? Wale nao walikua na ishu zao tu..... Ila yule wa wanyama naona ni mkorofi hivi kwa mwenzie
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
103,120
2,000
Hamisaaa wa Mobetoooo 😜

Comp estas Amigo's

Kumbe jaman kile chama kimempa kimya kimya ulaji Yule dada aliyezaa na msanii mkubwa

Bint mrembo haswa ambaye anauwezo wa kuutikisa moyo was mwanaume yeyote

Iko hivi ni mwezi Sasa tangu amepewa kile cheo

Basi unambiwa tangu kapewa kile cheo Cha uhamasishaji basi imemfanya awe karib mara kwa Mara na viongoz

Sasa

Sasaaaaa weekend iliyopita unaambiwa waziri anaeshughulikia mapori na Yule mwenzake ambaye jina lake linafanana na miezi

Walizidunda balaaa kisa kumgombea Yule binti

Baada ya kugombelezewa bwana wakawa hawaongei kabisaaaaa na operation mbalimbali zikawa hazifanyiki

Taarifa zikafika kwa bwana mkubwa

Bwana mkubwa akawaambia msipopatana nitawatimua wote nafasi zenu nichague watu wengine

Ikabidi kishingo upande wapatane lakin hali si hali sababu ya kumgombea mlimbwende Yule
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom