mtakatifu wa 2
Member
- Apr 15, 2022
- 37
- 96
Mtu amekwambia atakipigia asa wewe unampigia kwanini??Baada ya kuachana na aliye kuwa mke wangu nilitafuta mpenzi ambaye nimekua naye kwa miezi miwili sasa. Leo tulikubariana tuonane nimemtafuta saa tano akasema nisubiri mda sio mrefu atanipigia simu, mpaka mda huu bado nasubiri simu yake, nimejaribu kumpigia simu haipokelewi, mda huu nipo tu kwenye paso yangu nasubiri zamu yangu, wanawake shikamoni
Oya bado anatiwa??Subiri kidogo nipo nabageni na muuza nyapu angalau anitoe upwilu
Ndo natoka mda sio mrefu mkuuOya bado anatiwa??
Amenitafuta saa mbili kasoro toka saa tano asubuhi wala sijamjibu meseji yake maana na mimi nilinunua malayaMtu amekwambia atakipigia asa wewe unampigia kwanini??
Usione kimya Dada yupo anakupambania ili na wewe upate kidogo, ni vile tu ratiba zimeingiliana.
Ungetuma posho kidogo kuharakisha mchakato saa hii mama ingekuwa imeshakutafuta upo unaizaba mali.
Ametiwa sema Haina makomboNdo natoka mda sio mrefu mkuu
Ni kweli mkuu mna huruma sanaKama na wewe ulioa na kuoa baasi wanawake tuna. Huruma sana
Mnisamehe wakuu,. NimefutaππΎππΎLeejay nakuheshimu sanaaaa mkuu lakini hii kauli sijaipenda na kiufupi Umeongea udhalilishaji bila kujua au kwa kujua hakuna mwanaume anayekosa mwanamke hata awe hana kidevu Wala jicho
SAWA mkuu respectMnisamehe wakuu,. NimefutaππΎππΎ
Sababu za kumuacha mke ni zipi?Baada ya kuachana na aliye kuwa mke wangu nilitafuta mpenzi ambaye nimekua naye kwa miezi miwili sasa. Leo tulikubariana tuonane nimemtafuta saa tano akasema nisubiri mda sio mrefu atanipigia simu, mpaka mda huu bado nasubiri simu yake, nimejaribu kumpigia simu haipokelewi, mda huu nipo tu kwenye paso yangu nasubiri zamu yangu, wanawake shikamoni
Unamaanisha nini mkuukuna siri miezi hii toka mvua zianze matangazo ya umiliki magari yamekuwa mengi sana?
Hapa Sasa umekomaa πππAmenitafuta saa mbili kasoro toka saa tano asubuhi wala sijamjibu meseji yake maana na mimi nilinunua malaya
Bado hujasema πππMbwa hawa wananitesa moyo wangu
Nenda kitambaa white utapata twigaBaada ya kuachana na aliye kuwa mke wangu nilitafuta mpenzi ambaye nimekua naye kwa miezi miwili sasa. Leo tulikubariana tuonane nimemtafuta saa tano akasema nisubiri mda sio mrefu atanipigia simu, mpaka mda huu bado nasubiri simu yake, nimejaribu kumpigia simu haipokelewi, mda huu nipo tu kwenye paso yangu nasubiri zamu yangu, wanawake shikamoni
zamu yako ya kufanya nini? ulituma nauli? ya kutolea?Baada ya kuachana na aliye kuwa mke wangu nilitafuta mpenzi ambaye nimekua naye kwa miezi miwili sasa. Leo tulikubariana tuonane nimemtafuta saa tano akasema nisubiri mda sio mrefu atanipigia simu, mpaka mda huu bado nasubiri simu yake, nimejaribu kumpigia simu haipokelewi, mda huu nipo tu kwenye paso yangu nasubiri zamu yangu, wanawake shikamoni
Zamu yangu kupata huduma nilituma na ya kutoleazamu yako ya kufanya nini? ulituma nauli? ya kutolea?
Nilimpata na ninatamba nayeNenda kitambaa white utapata twiga