Wachu macheke
Senior Member
- Oct 8, 2024
- 171
- 347
Najisajili 'kataa ndoa' kuanzia leoSi uliambiwa wanawake ni wengi utapata mwingine!
Mwingine ndio huyo Sasa.
Baada ya kuachana na aliye kuwa mke wangu nilitafuta mpenzi ambaye nimekua naye kwa miezi miwili sasa. Leo tulikubariana tuonane nimemtafuta saa tano akasema nisubiri mda sio mrefu atanipigia simu, mpaka mda huu bado nasubiri simu yake, nimejaribu kumpigia simu haipokelewi, mda huu nipo tu kwenye paso yangu nasubiri zamu yangu, wanawake shikamoni
Maana yake unajiunga na upinde au sio!?Najisajili 'kataa ndoa' kuanzia leo
Watu huwa wanatumia hasira unapoachana na mke lazima uwe na exit planTulia baada ya kuachana na mke, ukileta mahangaiko na stress unaweza kufa!
Ye alijua huku nje kwepesiRudi kwa mkeo
Hakuna msafara wa maisha kurudi nyumaRudi kwa mkeo
Haku
Hakuna msafara wa maisha kurudi nyuma
Akajiona mjanja sasa asubiri hapo hapo aone showYe alijua huku nje kwepesi
ChaputaMaana yake unajiunga na upinde au sio!?
Kataa ndoa ni rangi mojawapo kwenye upinde mkuuC
Chaputa
Ukishaondoka ni kukaza hata ikibidi kufa Bora ufe ila sio kurudi kwa uliemuachaShida yako ushaonesha kuwa unamhitaji sana ndio maana anafanya hivyo, si umeshamtafuta zaidi ya mara moja basi usiendelee kumtafuta tena hadi arespond tofauti na hapo uo ni u SIMP PRO MAX.
Subiri kidogo nipo nabageni na muuza nyapu angalau anitoe upwiluKataa ndoa ni rangi mojawapo kwenye upinde mkuu
Mbwa hawa wananitesa moyo wangu