Nimeingia Mkataba na Studio za CITY SOUND kurekodi Albam yangu itakayoitwa Antibiotic (Don Nalimison)

Civilian Coin

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
2,305
4,334
Tumefikia makubaliano leo jijini Mwanza na Producer Mr.Haruna Paul a.k.a H-PAUL ambapo tayari tumeanza Production kwa Track zote zitakazo kuwa katika Lugha ya Kiingereza.

Zaidi tumeangalia katika level za Kimataifa. Pia, nashukuru Mtangazaji wa kituo Cha Radio Cha Metro fm Mr.Ben ambaye ndiye amenipa mwongozo wa kwenda katika studio hizo

IMG_20200706_142150_851.jpg
 
Back
Top Bottom