Nimeingia kilingeni

masesa1900

New Member
Joined
Nov 22, 2011
Posts
3
Reaction score
1
Hello waungwaba na wafuaji wa mbongo, nimeamua kuingia katika kilinge hiki baada ya muda mrefu kuwa mfuatiliaji wa fora kama guest(mgeni). Nikasukumwa na ile dhana isemayo "Ukitaka Kujua Uhondo wa Ngoma..........., Ingia Ucheze" na pia natumai nitacheza kwa step zile ambazo magwiji wastaarabu wa kilinge hiki wamezoea kugonga.

Tupo pamoja
 
Na iwe kweli basi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…