African Geek JF-Expert Member Joined Jul 29, 2022 Posts 916 Reaction score 1,558 Jun 13, 2023 #1 Nimefanikiwa kuibadilisha website yangu kuwa Mobile App inayofanya kazi kwenye Android & ios devices. Nimetumia Flutter kulifanikisha hili. Hii ni project niliyofanya mwanzo wa mwaka huu kwa kutumia framework ya next.js. π π Home π π π π WEBSITE Na hii ndio App yake niliyoitengeneza kwa Flutter. Inafanya kazi kwenye android na ios ila hapa nitakuwekea apk file kwa ajili ya android ambayo unaweza ukadownload na kuinstall kwenye simu yako. π DOWNLOAD THE APP π π π NASUBIRI MAONI YENU
Nimefanikiwa kuibadilisha website yangu kuwa Mobile App inayofanya kazi kwenye Android & ios devices. Nimetumia Flutter kulifanikisha hili. Hii ni project niliyofanya mwanzo wa mwaka huu kwa kutumia framework ya next.js. π π Home π π π π WEBSITE Na hii ndio App yake niliyoitengeneza kwa Flutter. Inafanya kazi kwenye android na ios ila hapa nitakuwekea apk file kwa ajili ya android ambayo unaweza ukadownload na kuinstall kwenye simu yako. π DOWNLOAD THE APP π π π NASUBIRI MAONI YENU
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 15,206 Reaction score 25,399 Jun 13, 2023 #2 Iko wapi hiyo App mbona unaandika na kama unatulazimisha tui_download ndipo tuione?.
African Geek JF-Expert Member Joined Jul 29, 2022 Posts 916 Reaction score 1,558 Jun 13, 2023 Thread starter #3 TODAYS said: Iko wapi hiyo App mbona unaandika na kama unatulazimisha tui_download ndipo tuione?. Click to expand... Nimeweka link ya kuidownload. Ukidownload utaweza kuiona vizuri zaidi
TODAYS said: Iko wapi hiyo App mbona unaandika na kama unatulazimisha tui_download ndipo tuione?. Click to expand... Nimeweka link ya kuidownload. Ukidownload utaweza kuiona vizuri zaidi
KENGE 01 JF-Expert Member Joined Mar 12, 2021 Posts 1,769 Reaction score 4,390 Jun 13, 2023 #4 Nyie mnawezaje haya mambo? Dadeq kila siku nainstall Android studio tena latest version na matutorial ya kutosha ila naishia kuyaangalia tu
Nyie mnawezaje haya mambo? Dadeq kila siku nainstall Android studio tena latest version na matutorial ya kutosha ila naishia kuyaangalia tu
African Geek JF-Expert Member Joined Jul 29, 2022 Posts 916 Reaction score 1,558 Jun 13, 2023 Thread starter #5 KENGE 01 said: Nyie mnawezaje haya mambo? Dadeq kila siku nainstall Android studio tena latest version na matutorial ya kutosha ila naishia kuyaangalia tu Click to expand... Wekeza muda mwingi kwenye kupractice unachokiangalia pia tengeneza consistency
KENGE 01 said: Nyie mnawezaje haya mambo? Dadeq kila siku nainstall Android studio tena latest version na matutorial ya kutosha ila naishia kuyaangalia tu Click to expand... Wekeza muda mwingi kwenye kupractice unachokiangalia pia tengeneza consistency
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,606 Reaction score 60,877 Jun 14, 2023 #6 KENGE 01 said: matutorial ya kutosha ila naishia kuyaangalia tu Click to expand... π€£ π€£ π€£ π€£ tatizo ni nini ? mda ?
KENGE 01 said: matutorial ya kutosha ila naishia kuyaangalia tu Click to expand... π€£ π€£ π€£ π€£ tatizo ni nini ? mda ?
KENGE 01 JF-Expert Member Joined Mar 12, 2021 Posts 1,769 Reaction score 4,390 Jun 14, 2023 #7 dronedrake said: tatizo ni nini ? mda ? Click to expand... Tatizo izi mambo ukikwama kutafta mtu akupe maelekezo ni kazi sanaa Hata wanaosome IT,CS,CE hawajawekeza sana kwenye code
dronedrake said: tatizo ni nini ? mda ? Click to expand... Tatizo izi mambo ukikwama kutafta mtu akupe maelekezo ni kazi sanaa Hata wanaosome IT,CS,CE hawajawekeza sana kwenye code