Nimeichukia Google

Nimeichukia Google

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
1,637
Reaction score
463
Habari wanajamvi.

Bila shaka jumapili imekuwa njema kwa mlioenda makanisani kupeleka michango ya ujenzi na mafuta ya gari ya mchungaji, na kwa wale mliojishindia nyumbani kama mimi hamjambo.

Hivi majuzi niliamua kujitoa kwenye mitandao yote; Facebook, Twiiter, Skype n.k. lengo ikiwa niboreshe my real-life social networking skills by connecting with people wherever I am, mashallah nikaona matunda yake k.v. getting laid n.k.

Sasa leo nikasema hebu nijiGoogle nione kama bado ntakuwa mtandaoni...astaghfullulah nilishangaa vile Google imeleta majibu ati "John Ezekiel is not on Facebook, find him on Porn sites" kidogo nizimie, nikawaza huyu Google angekuwa na ofisi yake hapa Ngarenaro aki ningeenda kufanya timbwili kama lile la Wema sepetu pale Global publishers.

Thanks
 
Hapo mwanzo umeniuz tafakar sana kaul yako juu ya michango ya kansan.
 
Duh hy htr sana labda ulikuwa unapenda kutembelea huko smtym wakaona wakuunganishe tu
 
Habari wanajamvi! Bila shaka jumapili imekuwa njema kwa mlioenda makanisani kupeleka michango ya ujenzi na mafuta ya gari ya mchungaji, na kwa wale mliojishindia nyumbani kama mimi hamjambo?

Hivi majuzi niliamua kujitoa kwenye mitandao yote; Facebook, Twiiter, Skype n.k. lengo ikiwa niboreshe my real-life social networking skills by connecting with people wherever I am, mashallah nikaona matunda yake k.v. getting laid n.k.

Sasa leo nikasema hebu nijiGoogle nione kama bado ntakuwa mtandaoni...astaghfullulah nilishangaa vile Google imeleta majibu! ati "John Ezekiel is not on Facebook, find him on Porn sites"!!! kidogo nizimie, nikawaza huyu Google angekuwa na ofisi yake hapa Ngarenaro aki ningeenda kufanya timbwili kama lile la Wema sepetu pale Global publishers.

Anyway, ni hilo tu kwa siku ya leo.
P.S. mods kama kawaida yenu, ila angalau nimetoa ya moyoni. Imebidi nizoee nyuzi zangu kukaa kwa dakika 5. Thanks

kwa upande huu hapa, Google nawakubali
 
Attachments

  • 1424638027995.jpg
    1424638027995.jpg
    38.4 KB · Views: 420
Habari wanajamvi! Bila shaka jumapili imekuwa njema kwa mlioenda makanisani kupeleka michango ya ujenzi na mafuta ya gari ya mchungaji, na kwa wale mliojishindia nyumbani kama mimi hamjambo?

Hivi majuzi niliamua kujitoa kwenye mitandao yote; Facebook, Twiiter, Skype n.k. lengo ikiwa niboreshe my real-life social networking skills by connecting with people wherever I am, mashallah nikaona matunda yake k.v. getting laid n.k.

Sasa leo nikasema hebu nijiGoogle nione kama bado ntakuwa mtandaoni...astaghfullulah nilishangaa vile Google imeleta majibu! ati "John Ezekiel is not on Facebook, find him on Porn sites"!!! kidogo nizimie, nikawaza huyu Google angekuwa na ofisi yake hapa Ngarenaro aki ningeenda kufanya timbwili kama lile la Wema sepetu pale Global publishers.

Anyway, ni hilo tu kwa siku ya leo.
P.S. mods kama kawaida yenu, ila angalau nimetoa ya moyoni. Imebidi nizoee nyuzi zangu kukaa kwa dakika 5. Thanks

Una uhakika gani huyo John Ezekiel alietolewa na google results ni wewe?

Kuna watu wengine vichwa vyao vina wadudu,i have the right to believe u are one of them!
 
Watu wanaoitwa john huwa ni watu wenye matatizo sana. Mimi simpi mwanangu jina kama hili..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom