kiruavunjo kuna baadhi ya post wala huhitaji hata kuzijibu ni kupoteza muda na nguvu, hili jambo ni fimbo mbaya kabisa kwa ccm hivyo lazima waje na kejeli za kila namnapilipili usio ila nayo iko shambani inakuwashia nini? maulidi si yako kanzu waivalia nini? unakiherehere cha kuhemewa kisogoni, dume jike tutakutongozea hapa hapa mwishowe utajikuta na wewe unaichangia Chadema kuleta mabadiliko ya kiutawala wa haki hapa nchini, kama unaakubaliana na mimi rusha buku tano Sasa hivyi, M-PESA malipo kampuni 213040 account M4C kiasi 5000 weka namba ya siri dhibitisha 1 Asante sana coz hata nawe shots utakuwa umeshiriki ukombozi wa pili wa taifa letu.
BI30PR334 Imethibitishwa. Tsh50,000
imetumwa kwa PAYLINK SYSTEM LIMITED
kwenye akaunti namba M4CJohn Kundi tarehe
31/10/14 saa 11:08 PM
salio lako la M-PESA ni Tsh360,825.
Slide a finger on your keyboard from left to right it gonna change to alphabets
It has not yet changed mr Mshana Jr.
Ni tukio la kipekee jioni ya leo la uzinduzi wa kuchangia CHADEMA kwa njia ya mtandao, limefana sana na mpaka matangazo yanaondoka hewani tayari ilishapatikana cash zaidi ya million 7
Go go CHADEMA.....GO UKAWA..!!!hujachanga tu fanya hivyo sasa
Suala la kuchangia chadema halijaanza jana ni la kitambo, tatizo ni accountability ya matumizi ya fedha hizo......
Ha ha ha hiyo pesa ya UKAWA au CHADEMA...? Any way CDM bado ipo tu na kwenye ile ndoa yenu ya Usho.ga imevunjika?
Na kwa nin mambo ya kukaa juan kama pale jangwan Mbowe anawashirikisha akina Lipumba ila michongo ya pesa anapiga peke yake?
Then there must be a problem or you try keyboard seatings
nashukuru mi ndo wakwanza kabisa nimechangia mil 7 cash.