JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,156
- 3,628
Pole sana mkuu!mi mwenyew walinibia bag ya mgongoni ya laptop nilkuwa nimeweka nguo na vtu vngne wakidhan ni laptop,naskia wezi ni wanawJamani wana jamvi habari za leo!
Juzi nilikuwa nasafiri kutoka Dar kwenda Mtwara,nilipofika pale terminal kuna kijana akaja kunielekeza mahali lilipo basi nililo kuwa nasafiri nalo kuja Mtwara.nafikiri hakuwa kijana mwema kwani nahisi ndiye aliye nifanyia timing na kuniibia bag langu moja lililo kuwa na vitu vingi sana.kwenye lile bag kulikuwa na 1.LAPTOP 2.DOCUMENT ORIGINAL ZA GARI 3.FUNGUO ZA GARI MBILI 4.MODEMS MBILI YA ZANTEL NA AIRTEL 5.VYETI VYA SHULE ORIGINAL KUTOKA MOSHI SEC 6.SURUALI MOJA 7.SET YA SPANER MPYA 8.CABLE YA LAPTOP 9.KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA.
NB
Kwa yeyote atakaye pata taarifa ya kuonekana kwa vitu hivi naomba anipe taarifa.JERUSALEMU.
Pole sana mkuu, Dar wezi wapo advanced sana, let me share this, imenitokea tu jana ingawa cjaumizwa sana, nilikwenda kituo cha mafuta cha camel (kipya) maeneo ya Tabata sanene, nilipofika wakaja wahudumu wawili, mmoja akaenda kwenye pump kujaza mafuta, mmoja akaja dirishani kuchukua pesa na kuniuliza ya sh. ngapi? nilipompa pesa hakuondoka akaanza maswali (si kawaida) eti samahani kaka iyo simu yako ni touch au? aliiona pale ndani, nikajibu, akatupia swali tena ni samsung? zinauzwaje (dah, mara nikastuliwa na sauti ya yule wa pili, akiuliza, amesema ya elfu 30? . nikageuka kuangalia tayari ishasoma elfu 30 lt 15. akawa sasa anafunga mfuniko...(sikustuka sana) wee, nilitoka pale kupitia njia ya kinyerezi nikielekea mbezi kwa msuguri ile nakaribia tu mbezi mwisho taa ya mafuta ikawaka (Nikajua nimeibiwa).
Mjini hapa ni kuwa makini kila wakati
Sasa mkuu unapopatwa na mkasa kama huu fuatilia. Kulalamika tu hakutaondoa tatizo. Wewe unapoibiwa ukifuatilia, wengine nao wakifanya hivyo hivyo mwisho wezi wataogopaPole sana mkuu, Dar wezi wapo advanced sana, let me share this, imenitokea tu jana ingawa cjaumizwa sana, nilikwenda kituo cha mafuta cha camel (kipya) maeneo ya Tabata sanene, nilipofika wakaja wahudumu wawili, mmoja akaenda kwenye pump kujaza mafuta, mmoja akaja dirishani kuchukua pesa na kuniuliza ya sh. ngapi? nilipompa pesa hakuondoka akaanza maswali (si kawaida) eti samahani kaka iyo simu yako ni touch au? aliiona pale ndani, nikajibu, akatupia swali tena ni samsung? zinauzwaje (dah, mara nikastuliwa na sauti ya yule wa pili, akiuliza, amesema ya elfu 30? . nikageuka kuangalia tayari ishasoma elfu 30 lt 15. akawa sasa anafunga mfuniko...(sikustuka sana) wee, nilitoka pale kupitia njia ya kinyerezi nikielekea mbezi kwa msuguri ile nakaribia tu mbezi mwisho taa ya mafuta ikawaka (Nikajua nimeibiwa).
Mjini hapa ni kuwa makini kila wakati
Jamani wana jamvi habari za leo!