Nimeibiwa till ya mpesa

Kinkajou

Member
Jan 4, 2016
71
54
Naombeni msaada au mwongozo tafadhali ,
mwaka 2019 nilimwajir rafk yang wa kijjn kwenye mpesa yangu hapo kijjn kwet nikaondok kwenda nje ya nchi ila cha ajabu mwaka huu mwez wa 4 wamefanya tukio kijjn kupelekea kutaftw na polis akaondok na kila kitu changu cha mpesa na lain bdo inatumik nifanyaje nirudishe till yang mim sina haja nae nashida na lain yng ya mpesa details zote ni zangu
THANKS IN ADVANCE
 
Sorry kwa matatizo
Duh, nko nataka nifanye kitu hicho hicho naomba mungu jamaa asifanye hayo
 
Nenda Vodashop watakuelekeza utaratibu Kisha utaipata nyingine na ile itafungwa.

Kwa kuanzia unaweza kuwapigia ukiwa na details zako muhimu watakuuliza maswali ili kuhakiki kuwa ni Yako kweli Kisha wataifunga. Baada ya hapo taratibu zingine zitafuata
 
asante sana
 
KAMA UPO DAR FIKA VODACOM MAKAO MAKUU PALE WATAKUPA NAMBA YA WAKALA WAKO MKUU KAMA YUPO MBALI WATAKUSAIDIA KUREJESHA TILL YAKO FIKA NA NAKALA ZAKO ZA LESENI YA BIASHARA, TIN NUMBER NA COPY YA KITAMBULISHO PAMOJA REPORT YA UPOTEVU AU KUIBIWA KUTOKA POLISI
 
Naombeni msaada au mwongozo tafadhali ,
mwaka 2019 nilimwajir rafk yang wa kijjn kwenye mpesa yangu hapo kijjn kwet nikaondok kwenda nje ya nchi ila cha ajabu mwaka huu mwez wa 4 wamefanya tukio kijjn kupelekea kutaftw na polis akaondok na kila kitu changu cha mpesa na lain bdo inatumik nifanyaje nirudishe till yang mim sina haja nae nashida na lain yng ya mpesa details zote ni zangu
THANKS IN ADVANCE
Yaani hujui hata hilo la kurudisha hiyo till, kwani uliipataje mkuu mbona maswali yanakuwa mengi kuliko majibu
 
Polee sana ila Kuna watu wa ajabu sana,una muajiri na Bado anaiba na biashara yenyewe aisee,iyo inabidi tu achukuliwe hatua za kinizamu,
By the way ninajua jf ni kisima Cha maarifa nauliza Till ndio nn.
 
Back
Top Bottom