Ingebidi uweke software ya tracking KABLA ya kuibiwa.
Hauwezi kutrace kwa IP kama baadhi wanavyodai, IP inatokana na network uliyokuwa connected na si na kompyuta hivyo akikonect kwengine anapata IP nyingine kutokana na hiyo network, hakuna uwezekano wa trace kwa IP.