Nenda Benk husika Kalipoti ili wazifunge hizo kadi, kisha utaenda kalipoti Polis kuandikisha vitu ulivyoibiwa ikiwemo na hizo kadi.
Polisi watakupa barua ambayo utaenda nayo benk kwa udhibisho kuwa kweli umeibiwa Na benk wanataendelea na mchakato wa kukutengenezea kadi mpya.
Ushauri:
Wai mapema polisi huwezi kujua wahalifu watafanyia nini hizo kadi, wanaweza kuvamia sehemu au kuua mtu kisha wakadondosha kadi yako ili ionekane wewe Ndio umehusika.
Unaweza kumtuma wife awasiliane na benki husika. Pia waweza ingia website ya benki yako ukatoa taarifa kwa maelekezo yaliyomo ndani ya website. Ni vyema ukafanya hivyo haraka. Muda ni muhimu Sana.
Nenda Benk husika Kalipoti ili wazifunge hizo kadi, kisha utaenda kalipoti Polis kuandikisha vitu ulivyoibiwa ikiwemo na hizo kadi.
Polisi watakupa barua ambayo utaenda nayo benk kwa udhibisho kuwa kweli umeibiwa Na benk wanataendelea na mchakato wa kukutengenezea kadi mpya.
Ushauri:
Wai mapema polisi huwezi kujua wahalifu watafanyia nini hizo kadi, wanaweza kuvamia sehemu au kuua mtu kisha wakadondosha kadi yako ili ionekane wewe Ndio umehusika.
nipm nikusindikize mpwawife kachoka yupo mwishoni kujifungua but kesho nitakuwapo hapo mapema asubuhi hofu ni mda kama jamaa wamechukua ndani ya week 3 itakua ziro
Nitajie ni ATM za Benk zipi, na jina majina yako kamili, na MWISHO namba za siri za kila moja nione kama naweza kukusaidia!

Mmmmmmh