Karibu Jiji la Makamba...
nilikwambia umsubiri Madame B ruvu akuonyeshe mji ukawa unauharaka ona sasa.
Kwa taarifa aliyekuibia mmetoka sehemu moja wezi wa dar huwa wananusa kabla hawajaiba kapuku kama hawawezi kukuibia
Utajikeri yuaself karibuni jijni
Makamba..!!
Sindio yule alieambiwa aweke chaki kwenye nanuhii alafu aandike nane akashindwa!? Kumbe alikua hajui kukatika
nilikwambia umsubiri Madame B ruvu akuonyeshe mji ukawa unauharaka ona sasa.
Kwa taarifa aliyekuibia mmetoka sehemu moja wezi wa dar huwa wananusa kabla hawajaiba kapuku kama hawawezi kukuibia
Utajikeri yuaself karibuni jijni
Kuna dada tulikutana pale, anasura kama ananusa harufumbaya. Nahis ndokaniibia
Unadhani kuna haja hata ya tamko..!? huyu njegele nilitumia muda wangu mwiiingi kumweleza nini cha kufanya hadi Asprin akanimaind yeye kajifanya kichwa nazi, haya sasa wamemkaribisha mjini, na kama hizo dagaa ndo alileta za kumhonga amu ndo imekula kwake atarudi kwao na vitoto vyake kiunoni, hapa natamfuta Asprin na Bishanga wanigawie japo sato nikawafanye mchemsho....
pale mbeya wenzio waliiba box
wakatimua kwenda kule forest
kufungua wakakuta kuna maiti ya mtoto (R.I.P) mtoto
ilibidi walirudishe pale pale walipolitoa
wakamkuta mwenyewe amekaa anasubiria.
Kwa hayo matakataka uliyojaza kwenye hilo beg watakurudishia tu,
subiria hapo hapo ulipo.
Anaitwa Evelyn Salt , ndo dili zake hapa mjini. laiti kama ungefuata maelekezo yangu usingeibiwa