Nyetk JF-Expert Member Joined Feb 28, 2012 Posts 1,648 Reaction score 1,701 Jun 2, 2012 Thread starter #41 sobhuza said: Wanafananaje? Ila huyu mdogo ana smile flani natural, huyo wa juu (hakyanani simjui) anaonekana ana kisirani sana. Click to expand... Aha ha haaaa! Asante mkuu kwa kuiona hiyo tofauti. Sisi kwetu ni wacheshi sana tofauti na anavyoonekana huyo mwenzetu. Huyo mwingine anaonekana ni "timed bomb", ile ukiligusa vibaya tu linalipuka.
sobhuza said: Wanafananaje? Ila huyu mdogo ana smile flani natural, huyo wa juu (hakyanani simjui) anaonekana ana kisirani sana. Click to expand... Aha ha haaaa! Asante mkuu kwa kuiona hiyo tofauti. Sisi kwetu ni wacheshi sana tofauti na anavyoonekana huyo mwenzetu. Huyo mwingine anaonekana ni "timed bomb", ile ukiligusa vibaya tu linalipuka.