Nimehudhuria ndoa 12 za ndugu zangu waislamu ndani ya wiki mbili, kunani jamani mbona kuoana hovyo

Ungewauliza waliokualika ungepata jibu sahihi,ukituuliza sie hatuwezi kukusaidia,hatukuwepo kwenye hizo harusi
 
Mimi huwa Najiuliza Ndugu zetu Wakristo wanawezaje kubariki Ndoa ambayo haipo wala haijafungwa!

Mkikaa na kuzaa watoto mkiwa mnazini mnasema mnaenda kubariki Ndoa, unabariki Vipi ndoa ambayo haijawahi kufungwa?
 
Ukisikiaaaa paaaaaaaa ndukiii
 
Mkuu naona watu wanarukaruka na kuficha ukweli. Kipindi cha ramadhani tunaepuka zinaa hvyo inashauriwa kama huwez jizuia kwa kipindi cha mwez mtukufu ni heri uoe tu na kwa kuwa ndoa zetu talaka ruksa, bas after a month utaona talaka za mpigo.. Huu ndo ukweli, na kama huamin subiri ramadhani iishe. Ila ni jambo la heri kwa kuwa tunakwepa zinaa.
 
Shukuria maalimu.
 
Wanapunguza U BAHARANI hao. Maana aliyeoa lazima arudi kwa mkewe hivyo zinaa itapungua
 
Ungeanza kutoa ufafanuzi zile za mwezi wa kumi na mbili ndio uhoji hizi
 
Wew talaka hata mwenyez Mungu hataki kulisikia neno hilo
 
Mimi huwa Najiuliza Ndugu zetu Wakristo wanawezaje kubariki Ndoa ambayo haipo wala haijafungwa!

Mkikaa na kuzaa watoto mkiwa mnazini mnasema mnaenda kubariki Ndoa, unabariki Vipi ndoa ambayo haijawahi kufungwa?
Kitendo cha kujamiiana tayari ni ndoa. Tatizo inakua haina baraka za Mungu, ndipo wanapoenda kuibariki.
Umeelewa eeeh.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…