Pole sana Mkuu,
Kuna viswali vichache vya kujiuliza kabla ya kuweka mikono kichwani na kuendelea kumshangaa mkulu
*Hayo matumizi yalikasimiwa kwenye bajeti?
*Nini matarajio yake kwa Senema, sorry! semina hiyo elekezi?
*Kama taifa tutegememee nini? Usanii plus plus?
*Ziara zake Wizarani zimekuwa na mafanikio yepi kwake na kwa utendaji wa hao wasaidizi wake?
*Kwanini hakufanyia semina hii dar kupunguza matumizi yasiyo lazima ya vipesa vyetu vya mkopo?
* Anaongeaga nini na hao wasaidizi wake kwenye cabinet meetings?
Samahani, hivi katiba ijayo itaruhusu mwananchi kumkana rais wake kama haridhishwi na utendaji wake? wala msijibu!