fundi msati
JF-Expert Member
- Aug 22, 2013
- 219
- 92
Wakuu kwanza natanguliza salam kwenu,
Mwenzenu nimefanya uharibifu kwa bahati mbaya yaani sijajua nilichokuwa nafanya.
Wakati natafuta chaneli inayorusha matangazo ya mpira world cup nikajikuta nimezifuta zote kwenye receiver ni mediacom mft-930Plus.
Nikibofya mfano namba yoyote inaandika information scrambled channel.
Nifanye nini jamani ili nipate kuzirudisha? Nimefunga lnb mbili sasa zinasoma za nje tu lakini hazioneshi zandani kama TBC,ITV,Star Tv nk hazipo kabisa kwenye ungo,kule juu sijapagusa ndugu zangu.