Unachosema ni kweli kabisa dadaangu!..Lakini kama nilivyosema kwenye post yangu nyingine..mnaowapa kiburi hawa wakware ni nyie wenyewe wanawake..mfano wewe utakataa wenzako watakubali kisha watakusema. Kwa mantiki hii hata ukiweka hizo 'camera' hazitasaidia sana. Wako wanawake wengi ninowafahamu kwenye ofisi za umma waliwakatalia mabosi wao ngono na wala hawakufukuzwa wala nini..na wako wengine pia huu ndio mtindo wao..they use their femininity as a hook'. Ni vita ngumu but it should start with you to say NO!
Kudhalilika kwa kufanyiwa 'sexual harrasment' ni kosa kwa mujibu wa sheria za TAKUKURU. But how to justify it ndo imekuwa ngumu..as so many people fear about their destiny hasa kama inatokea unaendelea kufanya kazi kwenye the same office!.
Filipo haiko hivyo, hata kama tunapenda kutongzwa ndo unitongoze ofisini tena ofisi ya serikali? kaziutafanya saa ngapi?
Smart lady. Sasa nakupa mambo. Siku ukirudi kamsalimie halafu uwe friendly kabisa halafu muanzishe mawasiliano hadi uhakikishe mnapanga kwenda kula tunda. Huku nyuma wewe andaa takukuru na media. Maliza kazi.
gfsonwin nimekupenda sana mpenzi wangu....!inakwaje aisee....,??!
vip una nafasi weekend hii???!..yah!...i wanna take you out for nyama choma and sm few bottles....!please baby say yes!..
therafter we can hang out for some more fun!...clubbing and all that!....
can you do it for me swthrt???
sijakubali na nilisha sema sitomkubali kuisaliti ndoa yangu.
. ni majaribu makubwa sana kweli nimekwazika zaid na hivi kasema mpaka jumanne. yaani basi tu
Kimsingi hasa sisi waalimu ni mateso sana watawala wanatutesa sana
Kawaida kutongozwa usipo tongozwa utajiona kama una kasoro :coffee:
mito muda mwingine napatwa na uchungu wa haya maisha na kauli zako kuwa ndio marupurupu yao nazidi kuumia zaid. Tatizo mimi huwa nu mtu wa kulia sana nikikwazika nashindwa kuvumilia naanza kualia. Yaani sijui kama hiyo j4 hajanisainia nitafanyaje manake nitajikuta nalia tu. Sipendagi mateso au kitu kinachoumiza mwenzenu. sijui nimeumbwaje.Ukisimama imara utapata haki yako bila kuvua chupi, lakini ukilegea tu utapaka hiyo haki yako na kudhalilishwa juu! Nijuavyo wanaume, ukienda hiyo jmanne utakuta hajaifanyia kazi hiyo barua yako. Najua utapanic zaidi, ila uwe na moyo mkuu. Lakini jua kabisa hapo anapima stability, akiona uko ngangari atajiuliza huyu kwanini anajiamini hivi wakati wengine nimekula ndo nikawasaidia (kama ni tabia yake), hivyo ataifanyia kazi tu ingawa anaweza kuichelewesha kidogo.
Nina marafiki zangu wawili ni mabosi wa walimu, dah ndo tabia zao hizi, wenyewe wanadai ndo marupurupu yao! Hapo akili kichwani mwako, ila unavyolalamika, mhhh sijui kama una ubavu wa kuimili dada yangu. Tena unavyoenda kuomba ushauri kwa walimu wenzio wa kike ndo unaharibu kabisa, unadhani ambaye ameishapitiwa na huyo boss ktk mazingira kama yako atakushauri nini?
Tatizo mimi huwa nu mtu wa kulia sana nikikwazika nashindwa kuvumilia naanza kualia. Yaani sijui kama hiyo j4 hajanisainia nitafanyaje manake nitajikuta nalia tu
sasa umenionyesha point of weekness, haya niambie jinsi ya kufanya basi.