Nimehangaika sana bila mafanikio

Kazanazo

JF-Expert Member
Aug 16, 2023
686
1,360
Naomba msaada uume wangu hausimami.

Iko hivi; nilikuwa vizuri napiga show kawaida na nilibahatika kuoa na kupata mtoto mmoja, shida ilikuja siku nilipiga mechi ya ugenini(nilichepuka) toka siku hiyo hadi sasa yapata miaka 3 uume hausimami nimejaribu kwenda kwa wataalam mbalimbali nimeishia kupoteza pesa kuna watu walinielekeza kwa baadhi ya watu wa tiba asilia nmeishia kupigwa na kitu kizito kichwan (wamenitapeli).

Ndugu zanguni naombeni msaada nifanyeje au niende wapi kwenye uhakika wa kutatua tatizo langu.

Natanguliza ahsante
 
Naona ni mgeni humu ila kwa kukusaidia kijana wangu chukua huu ushauri.

Sijasoma hadi mwisho ila tafuta muda mzuri ukae na mkeo faraga, mpe hadithi ya tukio zima la kuchepuka kwako na mueleze tu ukweli usione shida, mpe sorry ya nguvu mwanamme hawezi kulia ila ikibidi karibisha chozi hapo.

Then atakusamehe, baada ya msamaha tulia na tafuta siku tulivu upate show kwa bimkubwa wako huyo.

Ni wengi mnadhani mmerogwa kumbe siku unafunga NDOA na mkwe wangu aliweka/uliweka agano la aina hiyo ila umepofushwa kwa kusahau.

Ukipona mshukuru Mungu.

🙏🏾.
 
hakuna uhusiano wa kuchepuka na nguvu kuisha hapohapo kidaktari, ni either upatane na mkeo(akusamehe) au ukae vizuri na huyo mchepuko kama kuna kitu alikufanyia, ni kifungo cha kiroho hicho
Ahsante mkuu ila mke wangu kwa asilimia kubwa hana kinyongo na mm kwani kiuhalisia anafaham kuwa nilichepuka japo sikumwambia na pia ananisaidia sana kutafuta wataalam huko kwao ila hatufanikiwi na kuhusu mtu niliechepuka nae sina mawasiliano nae kwa sasa nilipita nae tu kimasihara akasepa tukapoteana hadi leo.
 
Kama ungalikuwa unasimamisha ila haina nguvu, ningekushauri kitu. Lakini kama haisimami, hapo sielewi. Maana mtu ninayemfahamu anakupa dawa ya kienyeji na kama husimamishi sawasawa inasimama kama mwanzo. Gharama yake huwezi amini ni shs 65,000 tu
Hapana mkuu haisimami kabsa
Unaenda kupigwa!!!

Kuwa makini.
 
Kama ungalikuwa unasimamisha ila haina nguvu, ningekushauri kitu. Lakini kama haisimami, hapo sielewi. Maana mtu ninayemfahamu anakupa dawa ya kienyeji na kama husimamishi sawasawa inasimama kama mwanzo. Gharama yake huwezi amini ni shs 65,000 tu
Hapana mkuu haisimami kabsa
Unaenda kupigwa.

Kuwa makini,mimi ushauri sina ngoja waje wakushauri zaidi lakini elewa kila tatizo lako ni fursa kwa watu.
 
Naomba msaada uume wangu hausimami.

Iko hivi; nilikuwa vizuri napiga show kawaida na nilibahatika kuoa na kupata mtoto mmoja, shida ilikuja siku nilipiga mechi ya ugenini(nilichepuka) toka siku hiyo hadi sasa yapata miaka 3 uume hausimami nimejaribu kwenda kwa wataalam mbalimbali nimeishia kupoteza pesa kuna watu walinielekeza kwa baadhi ya watu wa tiba asilia nmeishia kupigwa na kitu kizito kichwan (wamenitapeli).

Ndugu zanguni naombeni msaada nifanyeje au niende wapi kwenye uhakika wa kutatua tatizo langu.

Natanguliza ahsante
Rudi kamalizane na mchepuko wako. Kasha kupiga kufuli ila uende kwa busara na kubembeleza ikibidi shirikisha wazee wenye hekima.
 
Pole sana! Wala sipo huko, Muha Joannah unamuona hyu jamaa
Kuniitia hao watu haimsaidii muhusika,wala sikusema wewe ni tapeli.

Mimi nimechukua nafasi yangu kama mwanajamii kumshauri maana humu hatufahamiani,Jamiiforums zipo pinned threads za kutahadharisha watu dhidi ya utapeli ina maana walioziweka hawakujua kama haya yapo?
 
Kuniitia hao watu haimsaidii muhusika,wala sikusema wewe ni tapeli.

Mimi nimechukua nafasi yangu kama mwanajamii kumshauri humu hatufahamiani JF zipo pinned thread kutahadharisha watu dhidi ya kutapeliana humu ina maana walioziweka hawakujua haya yapo?
Una tatizo si bure! huyu jamaa kaomba msaada na mimi nikamshauri kadri nijuavyo, wewe ukatia maoni yako. Ulitaka kijana nikuiteje?
 
Kama ungalikuwa unasimamisha ila haina nguvu, ningekushauri kitu. Lakini kama haisimami, hapo sielewi. Maana mtu ninayemfahamu anakupa dawa ya kienyeji na kama husimamishi sawasawa inasimama kama mwanzo. Gharama yake huwezi amini ni shs 65,000 tu
Una tatizo si bure! huyu jamaa kaomba msaada na mimi nikamshauri kadri nijuavyo, wewe ukatia maoni yako. Ulitaka kijana nikuiteje?
Hey tusichoshane kufanyishana watoto hapa!

Kwanini umtamanishe umempa hadi bei ili aone ni ndogo ashawishike?ungetaka kumpa msaada ungempa wigo mpana wa kukuchimba zaidi ili hayo yafikiwe lakini wewe kuanza tu na bei ya dawa umeshatangaza kwani yeye mleta mada aliuliza bei za dawa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom