Nimehama vodacom

Nimehama vodacom

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,521
Reaction score
96,267
Wana jf leo voda wamenitenda vibaya kwani asubuhi line yangu ili jifunga ghafla nikaenda kwa agent akasema tui renew, wakaniuliza namba 5 nilizopiga nikawapa wamengandisha hadi muda huu wananambia kuwa zile namba 5hawazioni hivyo nirudi kesho.
 
Back
Top Bottom