Kurmodosla
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 330
- 202
Kiukweli kule mjengoni majority ni darasa la 7 hawana uwezo wa kusoma mavitabu makubwa ya budget mbaya zaidi sometimes yameandikwa kwa lugha malkia hapo hata kufungua hawatafungua na wale wachache wenye uwezo hawana muda wao wako bize na mambo yao wasubiri kuhojiwa kifungu kwa kifungu waitike ndiyooooo!Bajeti Waziri wa Fedha hubeba kila kitu na kuwa itakuwa financed vipi
Nimegundua Kuna Shida Mfano Nape anasema ohhh si mlisema Serikali mambo yote mnafanya kwa hell za ndani?
Hivi kipindi Cha bajeti Waziri wa Fedha aliposoma alikuwa kala au? Sababu financing ya bajeti huonesha wazi kila kitu
Spika, Nape anapokea posho bure mikopo mnaidhinisha mkipitisha bajeti kuwa sehemu ya financing halafu baadaye mlaleta miyowe eti ohh Bunge hakikupitisha, stupid you
Kwa hiyo miaka yote mitano alikuwa anabweka tu ndiyoooo bajeti ipite wakati hajui hata kilichomo? Kuwa Kuna mikopo mle!