Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,052
- 12,906
Mimi ni salaried worker.
Nimegundua salaried workers umasikini tunautafta wengenye. Tunajimilikisha current liabilities tukizani ndio ujanja.
Nilikua namiliki gari ambayo kila siku lazima ile mafuta ya ya karibu 30,000. Kwa mwezi ni kama 900,000.
Hivi karibuni nikaiuza, nikaanza kutembelea kibaby walker cha girl friend wangu (ist), gari inakula mafuta maximum 10 kwa siku. Service ina gharama kidogo, the same utility.
Nimejuta sana kwa nini nilikua namiliki gari inayonifilisi wakati ningeweza kumiliki gari ndogo ya ruti zangu ndogo ndogo za hapa town.
Sio mimi tu, salaried workers wengi kama mimi wanatikitia kwenye tope la umasikini kwa kupenda vitu vya anasa na visivyo na msingi, ambavyo zaidi ya kutusaidia vinasaidia kutufilisi.
Ushauri wa salaried workers wenzangu, tuachane na vitu vinavyotuongezea umasikini, tuwekeze kwenye assets zitakazotusaidia huko mbeleni. Bora uchekwe unamiliki baby walker kuliko kuja kuchekwa huko mbeleni huna kitu umebaki na gari kubwa.
Kazi zenyewe hazieleweki, unaweza kua permanent and pensionable lakini ukafukuzwa kazi muda wowote.
Tujifunze kupunguza current liabilities.
Huu ni ushauri wa bure tu. You can either take it or leave it.