Nimegundua ni kwanini CCM hawataki kutoka Ikulu, nimewaelewa sana

juvenile davis

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
4,752
4,463
Yani hawa viongozi wa ccm wana akili sana,wana akili tangu enzi za nyerere hadi leo.hawa wstu kwanza wana msimamo sana,yaani wakisema huyu mtu hafai kuongoza nchi basi wanamkataa kimoja mfano walimkataa lowasa tangu 1995 hadi 2015 na aweke ndoto tu kuwa raisi.hawana ndimi mbili wao wakisema No inakuwa ni No kweli,sio No leo na kesho inageuka kuwa yes,ila vyama vya upinzani hasa chama changu cha chadema havieleweki vinasimamia kauli gani,wao wana kauli mbilimbili kwa jambo moja mfano miak 8 lowasa ni mwizi na fisadi ,mara mwezi mmoja lowasa ni msafi.na sasa ukisema lowasa ni fisadi unaambiwa nenda mahakamani,mi nadhani lowasa awapeleke mahakamani wote waliosema yeye fisadi aanze na mbowe.lakini pia ccm wamegundua kuwa wapinzani hawana sera mbadala,hata katiba za vyama vyetu hatufuati,angalia chadema ilichofanya kumpata katibu mkuu,katiba inatuambia tumpate miezi mitatu ila sisi tunampata kwa miezi 6,sasa kama tunashindwa kufuata katiba yetu wenyewe je ya nchi tutaiweza kweli? Vyama vimekaa kiujanjaunja sana hivi.hata zanzibar kule nao hawaeleweki,angalia uchaguzi wa juzi.vyama vingine vimesusia ila vingine vimeshiriki,yaani wao wenyewe hawana ushirikiano sasa unaweza kuwapa nchi kweli? Hata baada ya kususa mi sijaelewa kabisa na hata wabunge waliisusa mi nawadharau,wanamuiga seif ambae kiuharisia hakuna anachopoteza! ,ccm wamegundua sisi ni wababaishaji na ndio maana hawataki kutuachia nchi kabisa,mi nadhani sisi wapinzani tuwe na mbinu mbadala zaidi ya ccm na sio kufuata upepo unapovuma kama chadema tulivobugi 2015 kumpokea lowasa,hatueleweki tunataka nini yani
 
Subiri ujibiwe na uvumilie kwakweli.
 
Shida ni chama kuongozwa na viongozi AKILI NDOGO

Chama kinaishi kwa kutegemea nguvu za WANYWA VIROBA

Chama kinashikwa na wachache
Maamuzi ya watu Fulani ndio maamuzi ya chama
Hakuna kuhoji!!

Una tegemea nini hapo
 
Yani hawa viongozi wa ccm wana akili sana,wana akili tangu enzi za nyerere hadi leo.hawa wstu kwanza wana msimamo sana,yaani wakisema huyu mtu hafai kuongoza nchi basi wanamkataa kimoja mfano walimkataa lowasa tangu 1995 hadi 2015 na aweke ndoto tu kuwa raisi.hawana ndimi mbili wao wakisema No inakuwa ni No kweli,sio No leo na kesho inageuka kuwa yes,ila vyama vya upinzani hasa chama changu cha chadema havieleweki vinasimamia kauli gani,wao wana kauli mbilimbili kwa jambo moja mfano miak 8 lowasa ni mwizi na fisadi ,mara mwezi mmoja lowasa ni msafi.na sasa ukisema lowasa ni fisadi unaambiwa nenda mahakamani,mi nadhani lowasa awapeleke mahakamani wote waliosema yeye fisadi aanze na mbowe.lakini pia ccm wamegundua kuwa wapinzani hawana sera mbadala,hata katiba za vyama vyetu hatufuati,angalia chadema ilichofanya kumpata katibu mkuu,katiba inatuambia tumpate miezi mitatu ila sisi tunampata kwa miezi 6,sasa kama tunashindwa kufuata katiba yetu wenyewe je ya nchi tutaiweza kweli? Vyama vimekaa kiujanjaunja sana hivi.hata zanzibar kule nao hawaeleweki,angalia uchaguzi wa juzi.vyama vingine vimesusia ila vingine vimeshiriki,yaani wao wenyewe hawana ushirikiano sasa unaweza kuwapa nchi kweli? Hata baada ya kususa mi sijaelewa kabisa na hata wabunge waliisusa mi nawadharau,wanamuiga seif ambae kiuharisia hakuna anachopoteza! ,ccm wamegundua sisi ni wababaishaji na ndio maana hawataki kutuachia nchi kabisa,mi nadhani sisi wapinzani tuwe na mbinu mbadala zaidi ya ccm na sio kufuata upepo unapovuma kama chadema tulivobugi 2015 kumpokea lowasa,hatueleweki tunataka nini yani
Hata Kikwete alikataliwa pamoja na Lowasa lakini baadaye tuligeuka tukampeleka Ikulu, cha moto tumekipata.
 
ImageUploadedByJamiiForums1458919357.427715.jpg

Samaki anafaa kwa kitoweo lakini sio kwa akili zake
 
Mtoa hoja analysis na maelezo yako hayaoani hivyo kufanya hoja isiwe na mvuto sana. Jaribu kufanya analysis na maelezo vyote vilandane nakutakia sikukuu njema
 
Kuna wakati tunabidi kuvua itikadi zetu za uchama n.a. kuangalia mbali zaidi...Hivi kweli ni sahii kuitumia Ikulu kufanyia mikutano ya chama cha siasa chochote?Hivi nani kasema kua Mwenyekiti kwa kua ndiye rais basi ni halali...nasema sio kweli kwanza hamna sehemu yoyote kwenye katiba ya nchi inayosema hivyo na kwenye katiba hamna utamburisho wa Mwenyekiti wa chama kua ndio rais wa nchi..
Hapa rais amekosea n.a. haya ni matumizi mabaya ya ofisi,mamlaka n.a. raslimali..ingawa najua mimi kama mtu siwezi kumshtaki ila amekiuka taratibu za utawala bora n.a. HAFAI KUIGWA NA MTU MWINGINE YEYOTE
 
Sababu kubwa ni uroho
Ufisadi mkubwa walofanya na jinai wanazo fanya hivyo wanaogopa kushtakiwa
 
Back
Top Bottom