Nimegundua mpenzi wangu aliwahi kutoa mimba akiwa chuo

Eti 'wake zenu wa ndoa wanaongoza kwa kuchoropoa mkigombana', hao si wake, ni Malaya kama Malaya wengine, waliojificha kwenye chaka la ndoa. Na Mungu alivyo fundi huwaumbua vibaya sana na hata hawakawizi. Narudia, hao ni malaya tu, tena wengi wanaoolewa siku hizi ni malaya wanao fake tabia ili waingie ndoani.

Kuhusu mama yangu kutoa mimba nyingi, hilo halinihusu, ni la yeye na mzee. Kama walikubaliana ni kivyao, ni maisha yao, na mimi naishi maisha yangu na sitaki mtu alete pua yake!
 
Wengine hutoa hata hawasemi na hutakaa ujue, so hata ndoani atatoa tu hata single mother wanaoamua kuzaa before hutoa nyingi tu mzee. So hili swala haliongelewi ila 99% washafanya kimya kimya na wewe unajifariji tu moyoni
Sio kwa mimi, kwani unafikiri huyu alisema kama ana mimba? Yaani ni mwendo wa shuruti na mbinu za ki-Mossad tu na za CIA, ukiona mpaka nimejua ujue nimefanya kazi nzito.

Mimi hata usiponiambia(na sihitaji hata uniambie) kama uliwahi au ulitoa mimba tukiwa kwenye mahusiano au vyovyote, NITAJUA TU YAANI, NA NIKIJUA HICHO NILICHOANDIKA KWENYE UZI NDICHO KITU NINACHOFANYA'GA'.
 
Mzee una internal conflict(mgogoro wa nafsi) nini? Umeandika as if umekata tamaa ya kuishi
 
Huyo mnamhukumu kwa kuwa amekuwa mkweli na muwazi. Unajuaje huyo mpya akayekuja kumuoa yeye ametoa mimba ngapi? Ukitafuta mwanamke malaika wa kuoa, dunia hii hutaoa kabisa. Alikosea kama wengine na bado anaweza kuwa mke mzuri tu!
Wanawake na wanaume decent wastaarabu waliolelewa na ku maintain maadil yao licha ya maisha kuwa harsh WAPO tena WAPO SANAAAA na bado watakuwepo mpaka dunia inaisha.....kwakifup WANAPATIKANA na WANAOA/WANAOLEWA daily.

Mmeathirika sana na ukosefu wa maadil na watu wanaowazunguka na mnaojihsisha nao ni wa hovyo possibly ndio maan mnadhan wote wako hivyo
 
Hapo nakuunga mkono, upo sahihi. Hujatumia mihemko ya kihisia kama kwenye quotes zako zingine huko huu. Hapa umetumia akili, tofauti na quote zako za juu.

Pamoja na haya yote, mimi sikum cheat, japo hakuwa akiniridhisha katika vitu fulani fulani, nilivumilia. Ila yeye akani cheat, tena akapata mimba mbili na kuzitoa zote kimya kimya. Hiki kitu kwangu hapana, na hakina msamaha.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Mkuu utatukana matusi yote ila haibadilishi kuwa huchotopoa na wewe unayeishi na malaya unakuwa na matatizo kuliko yeye
 
Sasa kwa wazoefu hutakaa ujue maana wao ni zaidi ya Mossad na hata huyo kukiri alikuwa hakupendi alitaka tu ukimbie zako
 
Umefanya maamuzi mapema mno. Issue ya kutoa mimba kwa wanachuo sio jambo la kushangaza mpaka uamue kuvunja uchumba.

Maisha ya chuoni kwa wanawake ni harsh sana. Kama hukuwa na ugomvi wowote mwingine naye bi afsi naona umefanya mamuzi mabaya.
Sio la kushangaza!!!!!
 
Elimu ina gharama zake. Atakuwa ashajifunza, kwenye mahusiano yake yajayo hawezi rudia kosa
Iwe amejifunza au la, ila nijiamua kujua nitajua tu, na ni lazima nijue. Kwani kwa huyu nilijuaje? Hakuniambia ila nilitumia mbinu za kiitelijensia mpaka nikajua. So, don't mess up with me brother.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Sasa kwa wazoefu hutakaa ujue maana wao ni zaidi ya Mossad na hata huyo kukiri alikuwa hakupendi alitaka tu ukimbie zako
Hata huyu alikuwa ni zaidi ya Mossad ila nimejua, huyu si wa kwanza. Nishajua kwa wawili huko nyuma. Nikiamua kujua najua tu tena situmii nguvu nguvu nyingi. Upo hapo?



Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Hahah watu kupenda attention za kijinga basi wame side na madem wa JF

Peleka kwenu mwanamke halafu mwambie mzee huyu mchumba wangu kashatoa mimba mara mbili tukiwa kwenye mahusiano, tena waambie kwamba hizo mimba zote sio zako then subiri reaction ya wazee wako 😂

Mnataka kufurahisha madem ikiwa mnajuwa fika mkiwa wahusika nanyi mtafanya kama alichokifanya mtoa mada.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…