Nimegundua mchumba wangu ni mke wa mlinda amani

To make the story short, kuna mdada nilikutana naye kwenye mwendo kasi stiry za hapa na pale kidume nikaambulia nambali za siku end of day one.
Baada ya mwezi tukawa mahabani na huyu manzi. Dhaa penzi kama lote mtoto mashaalah. Ila sikumuangusha nilimpa ile tunaita 'effectivery show' jana ndo kanitext kuwa alishindwa kuniambia ukweli yeye ni mke wa mtu na mama, Mzee wa mabakamabaka yuko nchi ya jirani analinda amani eti alishindwa kujizuia kwani anazaidi ya miezi sita hajapigwa msasa. Nilikuwa nashangaa mbona haombi hela. On otherside nimesikitika kwamba huku anaimarisha ulinzi huku nyuma huku beki hazikabi.
Ila tumekubaliana tusitishe. Kila mtu ameshika hamsini zake. Kuna nilipo kosea wakuu

Ah ulitakiwa ukule Tena bwana...Sasa wee unataka mke was mtu akagawe papuchi kwa mgegedo mwengine Tena....endelea nae yeye anachotaka ni mgegedo.
 
Nakushauri uandike kabisa barua ya usia. Jamaa akirudi kuna moja kati ya haya mawili. Uchague kati ya "Guest House" au "Utangulie kwa muumba wako"

Wacha kumgisha mwenzio...kwani Kila mke anayegegedwa mume analeta ubabe. Wacha wanawane apige msasa
 
Ulimpaka shombo tu jana ndiyo ameamua kukuaga kiaina. Hata kama angekuwa muke ya mujeshi kama ungepiga show ya maana mngendelea tu kuwa wapenzi.
 
Back
Top Bottom