Nimegundua mchumba wangu ni mke wa mlinda amani

Be mwagito Ndauli!! Dar Iringa sio mbali..jamaa wa mabaka akizingua tunarudi kwetu Iringa
 
To make the story short, kuna mdada nilikutana naye kwenye mwendo kasi stiry za hapa na pale kidume nikaambulia nambali za siku end of day one.
Baada ya mwezi tukawa mahabani na huyu manzi. Dhaa penzi kama lote mtoto mashaalah. Ila sikumuangusha nilimpa ile tunaita 'effectivery show' jana ndo kanitext kuwa alishindwa kuniambia ukweli yeye ni mke wa mtu na mama, Mzee wa mabakamabaka yuko nchi ya jirani analinda amani eti alishindwa kujizuia kwani anazaidi ya miezi sita hajapigwa msasa. Nilikuwa nashangaa mbona haombi hela. On otherside nimesikitika kwamba huku anaimarisha ulinzi huku nyuma huku beki hazikabi.
Ila tumekubaliana tusitishe. Kila mtu ameshika hamsini zake. Kuna nilipo kosea wakuu
Matatizo ya nchi hii,si yakuisha Leo asee
 
Mkuu mjini kuna guest,jela na mochuary..nakukumbusha tu mkuu
 
Linda nae amani mzee baba ila ipo siku mjenda atakuchana marinda maana analinda amani huko nje ya nchi na analinda amani ya nyumba yake na mke akiwemo hivyo subiri aje utakuja kutusimulia atakavyokuchana marinda kama yoteeeee
 
Inauma sana huo upuuzi mlioufanya na hayo yanatokea sana katika mahusiano
 
To make the story short, kuna mdada nilikutana naye kwenye mwendo kasi stiry za hapa na pale kidume nikaambulia nambali za siku end of day one.
Baada ya mwezi tukawa mahabani na huyu manzi. Dhaa penzi kama lote mtoto mashaalah. Ila sikumuangusha nilimpa ile tunaita 'effectivery show' jana ndo kanitext kuwa alishindwa kuniambia ukweli yeye ni mke wa mtu na mama, Mzee wa mabakamabaka yuko nchi ya jirani analinda amani eti alishindwa kujizuia kwani anazaidi ya miezi sita hajapigwa msasa. Nilikuwa nashangaa mbona haombi hela. On otherside nimesikitika kwamba huku anaimarisha ulinzi huku nyuma huku beki hazikabi.
Ila tumekubaliana tusitishe. Kila mtu ameshika hamsini zake. Kuna nilipo kosea wakuu
Ha haaaaaa hatari sana aisee.Huna kosa
 
kutembea na mke wa mtu ni kitu kibaya sana ambacho sitadiriki kufanya. Mtoa mada kama ulikuwa hujui kama huyo ni mke wa mtu basi mtafutie kisa uachane nae tena kibaya mpk asikae akakukumbuka. Fanya hivi dawa ya demu ni demu tafuta demu mkali mkutanishe nae na umweleze wazi itamuuma sana na mtaachana mazima
 
Ha ha ha ha tembea na mume wa mtu ruksa ukitaka maisha yawe mafupi tembea na mke wa mtu
 
kutembea na mke wa mtu ni kitu kibaya sana ambacho sitadiriki kufanya. Mtoa mada kama ulikuwa hujui kama huyo ni mke wa mtu basi mtafutie kisa uachane nae tena kibaya mpk asikae akakukumbuka. Fanya hivi dawa ya demu ni demu tafuta demu mkali mkutanishe nae na umweleze wazi itamuuma sana na mtaachana mazima
Wanawake wa sasa hivi hawakuachi, atakuuliza kwani nimekukosea nini ili nijirekebishe
 
Back
Top Bottom