TEAM 666
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 4,330
- 8,421
Moja kwa moja kwenye bandiko
Ukaribu na marafiki Ndugu katika karnee hi umebadilika hasa pale unapowazidii kdg kimaishaa unawaona watu wema kwako unajaribu ku'share nao mambo yako lakini mwisho wasiku wanakwenda kuyaongea kwawatu wengine ambao wewe binafsi hukupenda mtu huyo alijuee Jambo lako.
Ukija kwenye swala la mahusiano akijua unatoka mfano Rukia na wewe umepanga mahusiano yenu yasiwe public Basi yeye ndio wakwanza kutangaza kwa watu basi hapo hakuna Siri Tena na Muda wowote mambo yakaharibikaa.
Nimefanya research nikagundua bora nibaki peke yangu ndugu, marafiki wabaki kuwa sehemu tu yawatu wanaonizunguka lakini Muda wote nitatembea peke yangu shida zangu changamoto zangu zikinizidi umrii nitamtafuta mtu wamakamo mwenye busara zake... Kuliko kuanza kuwaelezea marafiki mwisho wasiku wanageuka kuwa ndio chanzo chakukuzidishia matatizo.
In-short kuanzia muda huu naandika hili bandiko sihitaji ukaribu na mtu yoyotee. Iwe tumekutana mziki some ware kila mtu namishe zakee habarii zakuanza story sijuii vikaenda kikarudi. No
Iwe tumekutana kwenye Events basi jua yaliyokuleta na Mimi najua nilichokifata.