Nimegundua marafiki wa karibu ndio wananichafua na kunishushia CV zangu

TEAM 666

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
3,873
2,000
Moja kwa moja kwenye bandiko

Ukaribu na marafiki Ndugu katika karnee hi umebadilika hasa pale unapowazidii kdg kimaishaa unawaona watu wema kwako unajaribu ku'share nao mambo yako lakini mwisho wasiku wanakwenda kuyaongea kwawatu wengine ambao wewe binafsi hukupenda mtu huyo alijuee Jambo lako.

Ukija kwenye swala la mahusiano akijua unatoka mfano Rukia na wewe umepanga mahusiano yenu yasiwe public Basi yeye ndio wakwanza kutangaza kwa watu basi hapo hakuna Siri Tena na Muda wowote mambo yakaharibikaa.

Nimefanya research nikagundua bora nibaki peke yangu ndugu, marafiki wabaki kuwa sehemu tu yawatu wanaonizunguka lakini Muda wote nitatembea peke yangu shida zangu changamoto zangu zikinizidi umrii nitamtafuta mtu wamakamo mwenye busara zake... Kuliko kuanza kuwaelezea marafiki mwisho wasiku wanageuka kuwa ndio chanzo chakukuzidishia matatizo.

In-short kuanzia muda huu naandika hili bandiko sihitaji ukaribu na mtu yoyotee. Iwe tumekutana mziki some ware kila mtu namishe zakee habarii zakuanza story sijuii vikaenda kikarudi. No

Iwe tumekutana kwenye Events basi jua yaliyokuleta na Mimi najua nilichokifata.
 

The Monk

Platinum Member
Oct 12, 2012
15,826
2,000
Sasa mwamba hata hii habari kuileta hapa tayari umeshavunja utaratibu wako mpya uliojiwekea..

Ilitakiwa upige kimya tuone vitendo tu. Tukirudi kwenye ulichokisema, kina ukweli kiasi flani. Mara nyingi wanaotuumiza au kutukwamisha ni wale tunaofikiria kuwa watu wa karibu tunaowashirikisha mambo yetu.
 

TEAM 666

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
3,873
2,000
Sasa mwamba hata hii habari kuileta hapa tayari umeshavunja utaratibu wako mpya uliojiwekea..

Ilitakiwa upige kimya tuone vitendo tu. Tukirudi kwenye ulichokisema, kina ukweli kiasi flani. Mara nyingi wanaotuumiza au kutukwamisha ni wale tunaofikiria kuwa watu wa karibu tunaowashirikisha mambo yetu.
Hapa tupo ki-code zaidii hakuna anemfahamu mwenzakee...
 

Kashaulo

JF-Expert Member
Jun 14, 2019
2,805
2,000
Ukiwa gizani (shidani) hata kivuli chako kinakukimbia, je unaweza kukanyaga kivuli chako mwenyewe?

1. Peke yangu ~Adili Chapakazi
2. Sihitaji Marafiki ~Fid Q


That’s my favorite playlist when I’m broke.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom