Acha uvivu wa kufikiri, wapigie customer care kwa mtandao ulionunua tokenWakuu habarini. Naomba kusaidiwa. nimefuta sms ya token ya Luku kwa mbaya.
Nifanyeje ili kupata umeme wangu? Kwa mwenye kujua msaada tafadhali
Tujue LUKU yenyewe ya bei gani kwanza, sio unahangaika badala ya kununua nyingine tu.
Mtandao gani?Wakuu habarini. Naomba kusaidiwa. nimefuta sms ya token ya Luku kwa mbaya.
Nifanyeje ili kupata umeme wangu? Kwa mwenye kujua msaada tafadhali
Tigo ila tatizo limeisha.asanteMtandao gani?
pichaWakuu habarini. Naomba kusaidiwa. nimefuta sms ya token ya Luku kwa mbaya.
Nifanyeje ili kupata umeme wangu? Kwa mwenye kujua msaada tafadhali
Piga namba hii Tanesco Makao Makuu utapatiwa 0768985100Wakuu habarini. Naomba kusaidiwa. nimefuta sms ya token ya Luku kwa mbaya.
Nifanyeje ili kupata umeme wangu? Kwa mwenye kujua msaada tafadhali
Bro wapigie customer service waambie meseji haijaja ila hela imekatwa. Hiyo story ya kufuta meseji iishie hapa hapa..
Tunashukuru kwa kuichangia serikali ya awamu ya tano.Habarini ...Nimenunua umeme wa Luku wa shilinhi Laki tano badala ya Elfu hamsini. Msaada nifanye nini nirudishiwe fedha yangu Tshs. 450,000?
Hakuna neno lingine zaidi ya poleHabarini ...Nimenunua umeme wa Luku wa shilinhi Laki tano badala ya Elfu hamsini. Msaada nifanye nini nirudishiwe fedha yangu Tshs. 450,000?
Mpigie simu mchepuko wako atakuelekeza.
Hatuwezi kukufahamisha kitu kiko kwenye menu ya simu yako..,
You must me very lazy
Wewe mwanamke ,pole una msongo wa mawazo, nakushari tafuta tiba mapemaToken ya buku unalialia
Hii idea kitu kama aliwahi kuhoji Infantry Soldier, wataalamu wa IT amkeni huu ni mchongo.
Au wataua soko la vile vidubwasha vya kuingizia token!
Kuna jamaa alihojiwa Clouds alikuwa ananunua Luku inaingia moja kwa moja sijui kama alipeleka hiyo idea TANESCO...Ila kibongo bongo akipeleka either apigwe TIKTAK na WAZEE wa Fursa au Afungwe kwa UTAKATISHAJI FEDHA.
Tafadhali kama bado haujaitumia fika nao ofisi za eneo lako kwa hatua zaidiHabarini ...Nimenunua umeme wa Luku wa shilinhi Laki tano badala ya Elfu hamsini. Msaada nifanye nini nirudishiwe fedha yangu Tshs. 450,000?
Utaratibu huwa unakuaje hali kama hiyo inapojitokeza?Tafadhali kama bado haujaitumia fika nao ofisi za eneo lako kwa hatua zaidi