Nimefura kwa hasira

yaani km anamjua mpenzi / mchumba wako alf hizo comuncation zenu km aliziunga kwampenzio .

umekwishaaaaaaa mwanaume hovyo.
 
Makosa yako ni haya..

1. Kutongoza kwenye simu.

2. Kutaka mzigo wakati hamna hata siku mbili toka mjuane!

Pole sana kijana!
 
Hapoo ikoo hiviii inawezekana alipokuwa njiani kuja kwako akakutana na bwanaakee maanaa we nimchepuu na mzeee akakomaliaa wabadili gia angani sasaa ulitegemea ninii?
 
nikajua kwa hasira ulizonazo utakivunjavunja ki tekno chako kumbe bado unajipa moyo uku ukisubiri mseji za kimwana
 
Kashakutana na mwenzio kashushwa kwenye daladala kaenda kutumika, just like ulivyompata wewe kwa kitonga style na mwenzio kajiulia tembo kwa bua. Subiri zamu yako siku nyingine hainaga makombo hiyo. Haya makinikia tunakulaga wote hayana wivu wala hasira au ulidhani wenzako hawajui vilivyonona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…