GT mbona tulishakubaliana huu utetezi haufai? Mungu gani mwenye upendo anaweza kupanga mtu afe hivyo?Janepher alipangiwa atakufa hivyo pindi alipozaliwa. Case closed.
Big poteto!
Kama unaamini mungu wa Abraham hivyo ndivyo ilivyoTukio la kuhuzunisha la bwana Laurent Kweka kumuua mke wake Janepher kwa kumpiga risasi imeleta simanzi na kutawala vichwa vya habari kila mahali hasa mitandao ya kijamii.
Sasa rasmi nimeamua kufunga huu mjadala wa kweka mara moja.
Janepher alipangiwa atakufa hivyo pindi alipozaliwa. Case closed.
Nimefunga huu mjadala sasa kayngay yoyote aposti uzi tena kuhusu Kweka atakiona cha moto. Hata ukilike tu na kucomment utafikiwa tu.
Fanyeni kazi!
Nani anayepanga vifo vya watu wanapozaliwaTukio la kuhuzunisha la bwana Laurent Kweka kumuua mke wake Janepher kwa kumpiga risasi imeleta simanzi na kutawala vichwa vya habari kila mahali hasa mitandao ya kijamii.
Sasa rasmi nimeamua kufunga huu mjadala wa kweka mara moja.
Janepher alipangiwa atakufa hivyo pindi alipozaliwa. Case closed.
Nimefunga huu mjadala sasa kayngay yoyote aposti uzi tena kuhusu Kweka atakiona cha moto. Hata ukilike tu na kucomment utafikiwa tu.
Fanyeni kazi!
Mkuu mimi naaminigi sana kwenye destiny.GT mbona tulishakubaliana huu utetezi haufai? Mungu gani mwenye upendo anaweza kupanga mtu afe hivyo?
Watu wanapambana kweli kuhalalisha hiyo jinai wakati haijaonekana kama jamaa alilazimika kuua ili kujihami dhidi ya shambulizi flani.
Kuna ubaguzi wa kijinsia hapa.
Sitokupangia mkuu, japokuwa mimi naamini destiny/fate/karma vilitungwa tu na wahuni kuhalalisha ukatili...Mkuu mimi naaminigi sana kwenye destiny.
Bange mbaya sana , Maaras π π πTukio la kuhuzunisha la bwana Laurent Kweka kumuua mke wake Janepher kwa kumpiga risasi imeleta simanzi na kutawala vichwa vya habari kila mahali hasa mitandao ya kijamii.
Sasa rasmi nimeamua kufunga huu mjadala wa kweka mara moja.
Janepher alipangiwa atakufa hivyo pindi alipozaliwa. Case closed.
Nimefunga huu mjadala sasa kayngay yoyote aposti uzi tena kuhusu Kweka atakiona cha moto. Hata ukilike tu na kucomment utafikiwa tu.
Fanyeni kazi!
Pamoja na Mabange na mihadarati yako kichwani ila sometimes una akiliMkuu mimi naaminigi sana kwenye destiny.
πππ bro unajiamulia tu.Sasa rasmi nimeamua kufunga huu mjadala wa kweka mara moja.
Janepher alipangiwa atakufa hivyo pindi alipozaliwa. Case closed.