tecno n2 imelocked i n bootloader.sim yangu ni tecno n2 sim 1 lazima iwe laini ya tigo...
sasa juzi nmeflash upya lakini bado inanilazimisha niweke laini ya tigo... naomben msaada wa mawazo nifanyeje ili niweze kuunlock network??
ukiweka laini tofauti inaandikaje!?sim yangu ni tecno n2 sim 1 lazima iwe laini ya tigo...
sasa juzi nmeflash upya lakini bado inanilazimisha niweke laini ya tigo... naomben msaada wa mawazo nifanyeje ili niweze kuunlock network??
sim yangu ni tecno n2 sim 1 lazima iwe laini ya tigo...
sasa juzi nmeflash upya lakini bado inanilazimisha niweke laini ya tigo... naomben msaada wa mawazo nifanyeje ili niweze kuunlock network??
Wadau wengi hata TCRA wenyewe huwa wanapotosha uma kuhusu maana halisi ya kuflash (Flashing is writing and erasing firmware while network lock, the phone is locked by network provider in your case you need to unlock phone not flashing)sim yangu ni tecno n2 sim 1 lazima iwe laini ya tigo...
sasa juzi nmeflash upya lakini bado inanilazimisha niweke laini ya tigo... naomben msaada wa mawazo nifanyeje ili niweze kuunlock network??
hizo zisizodai code zinanisumbua kidogokwa ujumla haiombi code inaandika this phone is locked only for tigo sim card
na nimetumia engeneering mode lakin option ya sim me lock iko disabled.
tecno lock its in bootloadershida ni upate unlocked firmware otherwise no way