Nimefichua siri

Kwa wanaojua njia zaidi ya kutunza siri nahitaji mawazo ili niweze kuwa mtunza siri mzuri..:embarrassed:

Chukua kijembe, toka nje ya nyumba yako, chimba kijishimo kidogo, taja siri zako zote humo ndani ya kishimo, halafu fukia...
 
Kwani huna mzazi wako? mimi msiri wangu mkubwa ni Mamangu,na sio siri tuu hata jambo langu lolote liwe siri au la dhahiri sipendi kuongea,akinisema yeye kwa mtu ujue tena hapo ndio nimesha maliza kwenye maisha ntakua sina msiri tena....
 
Huo ni unafiki wako na kiherehere chako cha kushindwa kutunza mambo yako.
Tuache ujinga jamani humu ndani hivi kuna yeyote amewahi kuckia kama kuna njia za kutunia kutunza Sirius? Hii ni tabia ya mtu japo c si yako tu hata wenzako huwa unayafanya vivyo hivyo.
 
Huo ni unafiki wako na kiherehere chako cha kushindwa kutunza mambo yako.
Tuache ujinga jamani humu ndani hivi kuna yeyote amewahi kuckia kama kuna njia za kutunia kutunza Sirius? Hii ni tabia ya mtu japo si yako tu hata ya wenzako huwa unayafanya vivyo hivyo.
 
kama wew ni mwanaume uko na kazi kubwa kubadilika upesi
 
Siri nayo ina muda wa kuwa valid kama siri. Muda huo ukipita inakuwa siyo valid tena so inakuwa haina madhara. Kwa kipindi kile ipo valid huwezi isema hata iwaje. So ukiona kitu ulichosema ni siri sana halafu ukasema ujue unyeti wake umeisha, ni kama chumvi isiyo na ladha.
 

Tuambie na sisi ili isiwe siri tena!!!! na hapo hutaumia kamwe!!!
 

wow! asante, nitajitahidi kuanagalia na mtu wa kushare nae na ni aina gani ya issue. asante kwa ushauri na kushare experience yako. Nimepata moyo
 
Hongera kwa kutua mzigo mzito uliouweka moyoni kwa siku nyingi. Nadhani sasa umwepesiiiiiii.....
 
tuwekee hizo siri hapa jamvini tukusaidie kuzintunza .........

Grand PA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…