Namuhurumia mkeo maana kama huyo ulokua nae ni mwathilika na wewe ukawa ndo ushaubeba automatically na mkeo lazima utamuambukiza!
Nenda hospitali ili ufanyiwe intervention ya haraka,ikiwezekana uanzishiwe PEP,ila tamaa nazo uache utaangamiza familia yako!