Wataachana tena tuliaAsa najiuliza me nahusikaje,.
Angalau umejifunza kitu so next time huwezi kufedheheka tena.NrNe.....
Wakuu Kuna namna watu wa hii nchi wanajitoaga akili sana..
Mwaka Jana Kuna binti alinifata kuniomba ushauri,. Na Kwa jinsi alivyonihadithia matendo ya My wake nikamshauri kiroho safi aachane nae afanye mambo yake ya msingi,. Nikaongea na maneno mawili matatu ili binti anielewe anatakiwa kufanya Nini...
Eti Jana amenipigia simu wamerudiana,. Na alivyokua mshenzi asiniambie mda huo wako wote, me nimeongea maneno yote nimemaliza kumbe wananiskia wote na ilikua video call.....
Hivi ujue kusutwa na mwanaume aibu sana, yaani nilijiskia kufedheheka, mwili mzima baridi, eti naambiwa me Kwa maneno yangu ndo nilisababisha wao wasiwe pamoja,. Eti nimetenganisha familia? Wakati sikua najua kama mda Wana maugomvi Yao binti alikua mjamzito ...
Nakaa nawaza how come amwambie Baby dad wake kwamba mimi ndio nilisababisha ,wakati binti alinifata mwenyewe kuomba ushauri na nikamshauri, . Kama ushauri wangu ulikua hauna maana mbona aliufanyia kazi....
Haya mambo sio ya kunitokea Mimi umri huu... Washenzi kweli hawa
Hatutofautiani sana Mimi watu wananiambia niwashauri kuhusu mapenzi, sjui uhusiano, mara akuambir hv mara vileWakati alinifata mwenyewe kuomba ushauri wangu
secretarybird bro wakoAione LOTH HEMA kwenye jalada
Anaeombwa ushauri na mke wa mtu eti mme anamnyanyasa, utakuta anakuandikia hivyo muda huo katoka kuikalia.
Mambo ya wapendanao hayaingiliwi kua nao pamoja hadi wauwane.
we nae unatenganishaga baby dadies za watu!Yote Kheri Tu...
AHAHAHAHHAHAHA kama nawaona!Kuna watu wanapenda vibaya sana, hii ilitukuta maskani. Mchizi wetu alikuwa na mrembo wake na walikuwa kwenye mahusiano muda tu, Sasa siku moja mchizi anatuambia kwenye hayo mahusiano anateseka sana, inshort hajawahi kupewa tunda ikabidi tumshauri achane na yule mrembo na yeye mwenyewe alikubali ushauri wetu.
Baada kama ya siku tatu alikuja yule bint kutuchamba, tena ili kututhibitishia kuwa ile show Ina baraka zote yule bint alikuja na mamake mzazi. Sasa ikawa kama wanapokezana, binti anazisha mamtu anamalizia
Ile siku tulivuliwa nguo na kile kijiwe kilisambaratika.
Mimi Huwaga Natenganisha Miguu Ya Bebi Mamaz.....we nae unatenganishaga baby dadies za watu!
We bana watu na huba zao wanawasaliti wazazi itakuwa we shoga kidawa!Wakati alinifata mwenyewe kuomba ushauri wangu
Daah kuna dhambi zingine hata mungu mwenyewe hawezi kukusamehe😂