Naka mjue nilivyo data mwenzenu. Duh katoto kamenidatisha kwa mambo yote. Mtoto yuko na pause la ajabu, mashavu kama epo, mwendo wa maringo, sauti nyororo, anajua kupika, dah hakya nani wacha paulo anichape risasi.sijaelewa, unataka ushauri ama?
mbona kama marehemu
Naka mjue nilivyo data mwenzenu. Duh katoto kamenidatisha kwa mambo yote. Mtoto yuko na pause la ajabu, mashavu kama epo, mwendo wa maringo, sauti nyororo, anajua kupika, dah hakya nani wacha paulo anichape risasi.
haa haa marehemu anatabasamu?
ngahwe genda neza ubhasuhuze amahima bhose mlikihugu.imana yachu iwe namwe bhose mlugendo lwanyu....loading error....safari njema,ngao jenda neza umbasuuze!