Mbona wote wako hivyo? Mimi nilimpa x wangu simu yangu niliyokuwa naitumia baada ya kwake kudai imeibiwa. Nilikuwa nimeweka GPS "ON". Tukaagana mimi nilikuwa nasafiri naenda mkoa na kumuachia hela ya matumizi. Ile nasafiri na yeye kasafiri tena umbali wa kupita mikoa minne. Nikaenda google search locator na kusearch simu yangu inanionyesha alivyochanja mbuga. Alafu