Ningemwambia "ahsante sana kwa salamu,basi agiza soda hapo ulipo upunguze uchovu ntalipia mimi bebe"
Usikute hapo alipo masikini hana hata 100 nayeye kadanganywa na mjanja wakeπππNingemfata anirudishie 50 yangu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera kwa kuchezewa akili hapo anasubiri dyudyu la yuyuuuLeo ilikuwa siku ya kuonana na mchumba wangu lakini mda wa asubuhi akaniaga anaenda kwa shangazi yake ni mbali kiasi na kaniambia anataka naur nikampa 50000 sababu nimbali kiasi so nikampatia tukaagana sasa mida ya jioni hivi Niko zangu natembea nikaona kihotel flani hivi nikaingia kupata soda Ile naendelea kuburudika na soda yangu nashangaa kuona mgongo kama wa demu wangu cha ajabu Ile naangalia vizur ni yeye kabisa na kakaa mwenyewe[emoji10][emoji10]nikasogea pembeni nikampigia cm na ikaita huku namuangalia cm inavyoita akapokea nikamuuliza pole na Safari akasema asante na akaendelea mim mzima nimefika salama na unasalimiwa Sana[emoji23][emoji23][emoji23] angekuwa wewe ungefanyaje,
Hivi kuna kapromo wamiliki wa jf wameifanya mahali ili members waongezeke humu? Sio kwa mafuriko haya[emoji134][emoji134][emoji134]
πππππNingemwambia "ahsante sana kwa salamu,basi agiza soda hapo ulipo upunguze uchovu ntalipia mimi bebe"
[emoji23][emoji23][emoji23]Tena ni yale mafurushi tu dah!!
AtotoHivi kuna kapromo wamiliki wa jf wameifanya mahali ili members waongezeke humu? Sio kwa mafuriko haya[emoji134][emoji134][emoji134]
Niko zangu natembea nikaona kihotel flani hivi nikaingia kupata soda Ile naendelea kuburudika na soda yangu
Usikute hapo alipo masikini hana hata 100 nayeye kadanganywa na mjanja wakeπππ
Wewe ni mshana eeπππUsikute hapo alipo masikini hana hata 100 nayeye kadanganywa na mjanja wakeπππ