Nimechukua nikaweka Lowassa

Hongera sana.mi ndo naenda weka lowassa

Na mimi nimeweka lowasaaa...
Cc Root

safi sana. mimi nakusanya watu na waswaga vituoni, ccm lazima itoke.

Unachukua unaweka, LOWASSA Kama mimi!

Jamani raha kupigia Lowassa

oyooooo.....

Mi nishaweka Lowasa sasa hivi niko bar!

haha √
LOWASSA √

Daaaa nami ngoja niende nikachukue nikaweke Lowassa

Lowassa mbele kwa mbele


Eeeehhhhh Kama hivi.....

umeona eee, wanasemaga aina ya vodole ina determine the size of puss, kwa hiyo huyu atakuwa na very tight one. (Natania bwana sio kweli.)

nishamaliza kuwalipia wanangu ada, kuwaletea ndugu zangu maisha bora sasa nalinda kura yangu
Mpo wapi kwa sasa makamanda?
 
Last edited by a moderator:
Makamanda msikatishwe tamaa na matokeo ya uongo yaliopikwa na CCM Kwa kushirikiana na Lubuva.
Lowassa ndiye Rais anayefuata baada ya Kikwete.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…