Nimechoshwana tabia zake

Nimechoshwana tabia zake

nina-kithembe

Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
63
Reaction score
14
Wadau nishaurini.

Nina mke...tumekua na uhusiano kwa muda mrefu. Lakin mwenzangu huyu anatabia za uzinzi, lugha chafu na kiburi. Nimejitahidi kila niwezavyo lakin furaha siipati. Huu ni mwaka wa sita sasa. Hatuelewani hata kidogo....inafikia hatua nikimpigia simu anakua haheshimu zimu zangu. Leo nimechukia sana baada ya kumpigia simu nabkisha kuikata. Nikampigia tena akadai rafiki yake alikua kaishika akawa amekata kwa bahati mbaya.

Kiukweli...nimeamua kutowasiliana nae tena. Nimemweka block list koz ni kwa muda mrefu hatuelewani. Naanza upya..nafanya issue zangu. Am tired na headache zisizokua na maana.

Nilimsomesha kuanzia sekondar mpaka chuo kikuu. Sasa kapangiwa kazi mbali na mimi. Anashindwa kuheshim mawasiliano.

Ataniua huyu mwanamke wadau. Au mnanishaurije?
 
ukitaka kumwacha usiulize kwani mlipokutana nakuamua kuoana mlimshirikisha nani. mwache tafuta wako naye atapata wakwake .....
 
hahahahaha lol!...anataka kumpa promotion ya nguvu achukue nafasi ya huyu mwenye lugha chafu na kiburi.
Kweli usimnyooshee mwenzio kidole vitatu vinakutazama wewe anakuja kuleta ripoti ya mkewe lakini yeye akifanya uzinzi sawa kabisa mbona mwaka huu kazi!!!Ngoma droo hapoo
 
mimi pia nina limwanaume limenichosha kama vipi njoo tusaidiane machungu tuliyonayo. bora yako wewe unayekumbuka kupiga na simu..
 
Kweli usimnyooshee mwenzio kidole vitatu vinakutazama wewe anakuja kuleta ripoti ya mkewe lakini yeye akifanya uzinzi sawa kabisa mbona mwaka huu kazi!!!Ngoma droo hapoo

uzinzi kwao ni sawa lakini kwa wanawake aaha ehee kumbe inaumaga eeh. kama unajua kwani wanawake wao wamewekewa superglue ama? kwamba aiingii ?
 
Unajua bhana ikigundulika wewe mwenyewe mawenge kupata ushauri ni ngumu sana!
Si unajua humu kwa GT! Wanaonganisha ulichosema mwanzo! Na ikiwa hoja zako zinapingana, ndio unapata ushauri kama huo!
...
Tulia naye tu coz mwenyewe umemfanya awe hivyo!
Jirekebishe, naamini atakubali matendo yako kuliko maneno yako!!!
Kila la heri!
 
uzinzi kwao ni sawa lakini kwa wanawake aaha ehee kumbe inaumaga eeh. kama unajua kwani wanawake wao wamewekewa superglue ama? kwamba aiingii ?
Hivi unajua naongelea nini au unasema tu ili mradi useme??
 
take care,ukimwi hauna kinga wala dawa,fanya maamuzi sasa na si kusubiri maneno ya ningalijuwa.
 
Wadau nishaurini. Nina mke...tumekua na uhusiano kwa muda mrefu. Lakin mwenzangu huyu anatabia za uzinzi, lugha chafu na kiburi. Nimejitahidi kila niwezavyo lakin furaha siipati. Huu ni mwaka wa sita sasa. Hatuelewani hata kidogo....inafikia hatua nikimpigia simu anakua haheshimu zimu zangu. Leo nimechukia sana baada ya kumpigia simu nabkisha kuikata. Nikampigia tena akadai rafiki yake alikua kaishika akawa amekata kwa bahati mbaya. Kiukweli...nimeamua kutowasiliana nae tena. Nimemweka block list koz ni kwa muda mrefu hatuelewani. Naanza upya..nafanya issue zangu. Am tired na headache zisizokua na maana. Nilimsomesha kuanzia sekondar mpaka chuo kikuu. Sasa kapangiwa kazi mbali na mimi. Anashindwa kuheshim mawasiliano. Ataniua huyu mwanamke wadau. Au mnanishaurije?

Mkuu soma uzi wenye kichwa ''UKIKOSEA HAPA' WEWE KWISHA''
 
Wadau nishaurini.

Nina mke...tumekua na uhusiano kwa muda mrefu. Lakin mwenzangu huyu anatabia za uzinzi, lugha chafu na kiburi. Nimejitahidi kila niwezavyo lakin furaha siipati. Huu ni mwaka wa sita sasa. Hatuelewani hata kidogo....inafikia hatua nikimpigia simu anakua haheshimu zimu zangu. Leo nimechukia sana baada ya kumpigia simu nabkisha kuikata. Nikampigia tena akadai rafiki yake alikua kaishika akawa amekata kwa bahati mbaya.

Kiukweli...nimeamua kutowasiliana nae tena. Nimemweka block list koz ni kwa muda mrefu hatuelewani. Naanza upya..nafanya issue zangu. Am tired na headache zisizokua na maana.

Nilimsomesha kuanzia sekondar mpaka chuo kikuu. Sasa kapangiwa kazi mbali na mimi. Anashindwa kuheshim mawasiliano.

Ataniua huyu mwanamke wadau. Au mnanishaurije?

Acha wakusaidie maana mademu wote sabini uliogonga akuchekee hivi hivi. Wewe endelea kushangaa jinsi demu yule wa Ethiopia anapeez.
 
Back
Top Bottom