Nimechoka

Ongea nae,mwambie unavyo umia anavyochart na hao wadada...pia wajali wanao,achana na mambo ya kukagua simu za mume wako,huo ni wivu dadangu..binadamu huwezi kumchunga,hata wewe ukiamua hawezi kukuchunga,cha msingi ni trust na faithfulness..ebu imagine unaachika kwa sababu ya simu?wewe vp bana..au kuna sehemu na wewe ushawekeza? Sasa ukimuacha si ndio atatanua na hao madem zake!banana nae humo humo kwenye ndoa,tena kama vipi muhimize kwenda kupima mara kwa mara,akiuliza mwambie nishakugundua wewe malaya sana utaniua bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…