Nimechoka Usingle

[emoji22]sio kweli
Upendo ni zaidi ya pesa..
Nilichomaanisha ni nje na ulichooelewa
Ila nimerekebisha nilipokosea
Kwa hiki ulichoandika wewe unafaa kabisa kuolewa na kuheshimiwa you are simply humble nakuja pm beautiful girl
 
Nasema hivi ukiwa baba oa hata wake watano kuondoa balaa la single mother na watoto kulelewa bila mapenzi ya baba! Haya ya ukiriristo ni unafiki tu maana hao single mother wamezalishwa na wababa wakristo kwa kujificha!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mungu baba analo jema kwako, wala usijiinamie wala kuvunjika moyo usishike tama tena rafiki angu mwema mungu ameiona kwikwi ya moyo wako unataka nini,,utajibiwa kwa machozi yaliyojaa furaha
 
Nitanufaika na nini nikiwa na wewe, ukiacha tendo?

1.Utakuwa umepata mama bora wa watoto wako
Na mashauri mzuri wa future yako…
2.Utakuwa juu kimaendelee kwani sina mchezo na maendeleo[emoji23]
Naamini ktk utendaji na jitihada
 
Mungu baba analo jema kwako, wala usijiinamie wala kuvunjika moyo usishike tama tena rafiki angu mwema mungu ameiona kwikwi ya moyo wako unataka nini,,utajibiwa kwa machozi yaliyojaa furaha

Ameeen[emoji120]
Mungu na anipe Ubavu wangu
 
Wikend hii naachia uzi wa kutafuta mume.hivi kumbe ni rahisi namna hii[emoji16][emoji16]
[emoji41][emoji41]
[emoji2222][emoji2222]
Mjiweke tayari[emoji126][emoji126]

[emoji23][emoji23]
 
Mrembo njoo tujenge malengo, si unipe namba yako nikupigie weekend weekend baby[emoji445] na kama utanipenda sijari shida utazonipa[emoji445]

[emoji23][emoji23][emoji23]jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…