Ndiyo honey lete makopa kwa msojaJamanii kwaiyo apo upo Raia kama mimi
[emoji3]
Hela ya mahali bado,kuna mchongo naskiliziaHoney[emoji860]
Honey njoo basi kipenzi.
Najua umeshatafuta hela ya Mahali
Njoo sasa
Tujenge familia
Mahari na si mahaliMaisha bwana[emoji23]
Kama Mungu amekupa Hekima na Ujuzi
Ni vyema unifundishe iyo kuandika..
Mbona binadamu tunakuwa ivi[emoji30]
Nakungoja pm,Uzi tuufunge[emoji3][emoji23][emoji119]
Gud..[emoji22]sio kweli
Upendo ni zaidi ya pesa..
Nilichomaanisha ni nje na ulichooelewa
Ila nimerekebisha nilipokosea